Tyga apata mtoto wa kiume, amezaa na Blac Chyna ambae ni Stripper.


Tyga na mwanae

Rack City hit maker amepata mtoto wa kiume na kuikaribisha furaha ya kipekee yeye na girlfriend wake Blac Chyna ikiwa ni time ya kuitwa baba na Blac Chyna kuitwa mama.
Rapper huyu wa YMCMB ambae hivi karibuni aliripotiwa kucheza movie za ngono sasa amefungua ukurasa mpya na kuongeza title kwenye jina lake la kawaida la Michael Ray Nguyen-Steven son a.k.a Tyga na sasa ataweza kuitwa baba… hongera sana Tyga kwa hatua kubwa uliyofikia.
Mama mzazi wa mtoto wa Tyga ni mpenzi wake Blac Chyna ambae ni mchezaji kati ya wale strippers kwenye club moja maarufu ya Miami inayoitwa King of Diamonds strip Club. Lakini hivi karibuni Tyga alionekana kwenda mbali kimahusiano na dada huyo japo walikanusha kuwa engaged, na baadae Chyna kukanusha kuwa na ujauzito mwanzoni sasa wameweka kila kitu hadharani na ni muda wa kufurahi na kumkaribisha mtoto wao katika maisha yao.

No comments:

Post a Comment