HUU NDO UFUNGUZI WA Paralympics LONDON

Paralympics

The London 2012 Paralympic Games Opening Ceremony held at the Olympic Stadium in Stratford Park, East London.
Fireworks ... the opening ceremony

THE synthesised voice of 70-year-old Big Bang genius Stephen Hawking echoed around the hushed Olympic Stadium.

The world-famous wheelchair-bound physicist said: “Look up at the stars, and not down at your feet. Be curious.”
Hawking is a shining beacon of the Paralympics ethos of concentrating on what you can do rather than what you can’t do.
And last night 80,000 spectators in the London 2012 stadium watched transfixed as Professor Hawking heralded something special. Something British.
Paralympics - London 2012 Paralympic Games
Action Images
The Paralympics had come home on a scale the World War II veterans who competed at the first Games at Stoke Mandeville in 1948 could never have imagined. In they came, 4,280 athletes from 166 nations. All, in Hawking's words, had been curious. All had looked to the stars.

They included British 100metre sprinter and world record holder Jonnie Peacock.
Despite having only one leg, his best time is an astonishing 10.85 seconds. The quickest time of Usain Bolt, the fastest man ever, is 9.58.
Jonnie will face Blade Runner Oscar Pistorius in the blue riband clash of the Paralympic giants. Top level sport at its finest.Then there was discus thrower Derek Derenalagi, whose artificial limbs replacing the ones blown off by the Taliban are decorated with Union Jacks. And Martine Wright, representing Team GB at women’s sitting volleyball, who lost her legs in the 7/7 bombings.
David Cameron and wife Samantha
So proud ... David Cameron and wife Samantha
Alpha Press
All incredible examples of human endeavour. Of the strength of the human will. Proof that sometimes sport is very much more than just games.
The wild applause rippled from this grand stadium’s canvas and steel roof down to the red running track where these athletes will perform in the next 11 days. It was the same intoxicating Olympic spirit that swamped Stratford when Mo and Jess were performing their heroics. The same respect. The London crowds want to watch elite sport. The feelings of those I spoke to in the stadium last night were of awe, not pity.
Volunteer Lisa Hawkins, who was showing spectators to their seats, said: “It’s the experience of a lifetime. There’s the same buzz in the stadium as the Olympics.
British delegation
Red, white and blue ... Team GB athlete
“I did the test events for both sets of Games in May and enjoyed the Paralympics more. It’s just so inspirational, I’m in awe of the Paralympians.” The early evening drizzle did nothing to dampen last night’s party atmosphere. Nursery nurse Susan Knowles, 53, and niece Stephanie Davis, 24, had come down from Leeds to be part of a historic celebration. She said: “I’m so glad just to be a part of it. The atmosphere is amazing.
Athletes from Mexico during the Opening Ceremony of the London 2012 Paralympics at the Olympic Stadium on August 29, 2012 in London
Mexican wave ... country's wheelchair athletes sport ponchos
“I believe the Paralympics are as big as the Olympics and I hope they are incorporated and run at the same time in 2016.” Primary school teacher Stephanie added: “The Paralympics will be eye-opening for people and teach them so much. Both games have been wonderful for the country and brought everyone together.” Social worker Steph Allman, 31, said: “Sporting excellence is difficult as it is, let alone if you suffer from a serious disability. These Games will inspire disabled children to get involved in sport.
Prince William and Kate
Arriving ... William and Kate last night
“There will be more role models and more opportunities. Hopefully it will help improve the public’s attitude to disabled people too.”
The sheer numbers of spectators certainly demonstrate the level of acceptance both for the Games and those with disabilities. Organisers confidently hope the Games will transform attitudes to disability in the UK. Currently less than half of those with disabilities in the UK are in employment. More than half live below the poverty line. Yet the sheer scale of the audience — the biggest ever for a Paralympics — proves this country’s acceptance of these athletes.
With 2.4 million tickets sold these Games are no longer a sideshow tagged on at the end of the Olympics. And the Paralympics is a British sporting creation every much as football, cricket, rugby or golf.
the Paralympic Cauldron
Flame ... the Paralympic Cauldron
Alpha Press
Martin McElhatton, chief executive of wheelchair sport organisation WheelPower, said: “We should be very proud as a nation that we gave the Paralympics to the world.” The games were born some 95 miles from the London 2012 stadium in the Buckinghamshire village of Stoke Mandeville.

In the hospital there, neurosurgeon Sir Ludwig Guttmann set up the first specialist treatment centre for servicemen in 1944.
On 28 July 1948 — at a time when disabled people were shut away in care homes — he hosted a small archery and javelin competition for 16 paralysed men and women. Guttman, a Jewish German refugee from Nazi Germany, believed it was a “demonstration to the public that competitive sport is not the prerogative of the able-bodied.” The event slowly grew until it became the massive sporting event we see today.
A Belgian athlete carries his dog as he waves in the Olympic Stadium during the opening ceremony of the London 2012 Paralympic Games
Game boy ... Belgian athlete's dog
Guttmann died in 1980. His daughter Eva recently said he would be bursting with pride. Sally Haynes, paralysed from the waist down after a horse-riding accident, is one of Guttman’s former patients. She said: “I think the world has accepted us now. I didn’t ever think we would get this far.”
This summer’s second great sporting chapter for Britain has begun with all the same ingredients as the first. Smiling soldiers and polite purple-clad volunteers, British good manners and our new Union Jack-waving patriotism for all.
Danny Boyle’s Olympic opener showcased Britain’s irreverence and humour.
The Queen and Prince Edward
Royals ... Queen and Prince Edward
Last night’s spectacular Paralympic ceremony majored on Britain’s scientific achievements and how they have helped our understanding of the universe. At its core was the message that each of us has an ability to succeed at something. Hawking, author of the best- selling A Brief History of Time and described by organisers as “the most famous disabled man in the world”, returned as fireworks lit up the night sky.
He said: “However difficult life may seem. There is always something you can do and succeed at.”

Paralympian Martine took up sitting volleyball as part of her rehab after the 7/7 terror attacks.
She said: “July 6 was the day we won the games and then there was July 7, the day the bombing happens. In my mind these days will always be connected.
“When I go through that stadium I’ll feel like I have gone full circle. I’m just so proud, with my friends and family watching at home.”

Last night the Olympic flame flickered around its cauldron once more. The adrenaline-rush of faster, higher, stronger was upon us once more.
Then came the rousing sing-along finale of I Am What I Am.
As an anthem for these games, it couldn’t be bettered.

Isaac breaks levee near sodden New Orleans



Hurricane Isaac has weakened to a tropical storm, pummelling New Orleans, but causing most damage to less-protected areas outside the city.
Isaac is soaking the US Gulf Coast exactly seven years after the devastating and much stronger Hurricane Katrina.
An overnight curfew has been declared by the mayor of New Orleans.
Its multi-billion-dollar barriers have stood firm, but sea water has breached a levee in a town south of the city.

At 16:00 local time (21:00 GMT), the storm was 35 miles (60km) south of the city of Baton Rouge, and 60 miles (95km) west of New Orleans, according to the US National Hurricane Center (NHC).
'Serious flooding' The ponderous storm, moving at about 6 mph (10km/h), could take most of the day to travel as far as Baton Rouge, a town 70 miles (110km) to the north-west of New Orleans.


The storm was downgraded from a hurricane to a tropical storm on Wednesday afternoon.
But Louisiana Governor Bobby Jindal told reporters on Wednesday that the state would be dealing with Isaac "through early Friday morning".

The residents of Plaquemines Parish, where Isaac first touched down, about 65 miles (105km) south of New Orleans, have bore the brunt of the storm so far.
Authorities have said they plan to cut a hole in one of Plaquemines' levees, which are not part of, or as high as, the upgraded system around New Orleans, in order to relieve pressure from flooding.
Dozens of people in the area have been rescued.
Caitlin Campbell, a spokeswoman for Plaquemines Parish water was running over an 18-mile (29-km) stretch of the 8ft-high levee and some homes were flooded.

After hitting Plaquemines, the then-category one hurricane headed back out to sea, before making a second landfall further west at Port Fourchon at about 02:00 (07:00 GMT) local time.
There were reports of serious flooding and people stranded by rising waters in the Braithwaite area, just across the Mississippi river from metropolitan New Orleans.
'Worse than Katrina'
Plaquemines Parish President Billy Nungesser said the damage wrought by Isaac was worse than Katrina.
"I don't know who's calling this a category 1, but this is no category 1," Mr Nungesser said. "My house has more damage than it did during Katrina."
Strong winds were hampering full-scale air and water rescue efforts in the area, but the BBC's Alastair Leithead reports local residents were trying to make rescues with small boats. The National Guard was also set to launch a rescue effort.
Map
Storm surges are still a concern, with peaks of up to 12ft (3.7m) forecast in parts of Mississippi and south-eastern Louisiana.
Rainfall of up to 1ft 8in is expected across wide areas, with a high chance of isolated tornadoes along the coast.
The bowl-shaped city of New Orleans is particularly vulnerable to storms, with the centre of the city the furthest below sea-level.


Many residents of New Orleans have chosen to secure their homes but stay put, saying they were not too concerned by Isaac.
Officials are urging residents who have not evacuated to stay in place until high winds weaken.
President Barack Obama has declared an emergency in Louisiana and Mississippi, allowing federal funds to be released to local authorities.
About 600,000 people were without power across five states, the majority in Louisiana, as of Wednesday afternoon.
Isaac killed at least 24 people as it passed over Haiti and the Dominican Republic earlier this week.
It also caused significant flooding and damage across the Caribbean and forced a day's delay to the start of the Republican party's congress in Tampa, Florida.
Image of New Orleans levees and storm surge from Isaac

P-Square waongoza nominations za tuzo za Headies, Camp Mulla nao wamo




Waandaaji wa tuzo za Headies 2012 za nchini Nigeria,wametoa majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo.

Mapacha wa P-Square wameongoza kwa kuwa na nominations nyingi zaidi.
Camp Mulla wa Kenya wamekuwa wasanii pekee kutoka Afrika Mashariki waliotajwa kwenye tuzo hizo kwenye kipengele cha AFRICAN ARTIST OF THE YEAR.
Camp Mulla
Hii ndio orodha yote

ALBUM OF THE YEAR

Everybody Loves Ice Prince- Ice Prince Zamani
The Invasion- PSquare
Super Star- Wizkid
Super C Season- Naeto C
ARTIST OF THE YEAR

Psquare
Wizkid
Ice Prince
Naeto C
DBanj
SONG OF THE YEAR

Chop My Money- Psquare feat. Akon & May D
Dami Duro- Davido
Oliver Twist- Dbanj
Gaga Crazy- Chuddy K
Kukere- Iyanya
RECORDING OF THE YEAR

Stupid Song- Bez
Private Trips- Wande Coal
I Love You- Praiz
Ara- Brymo
PRODUCER OF THE YEAR

Cobhams Asuquo- Stupid Song (Bez)
Tee Y Mix- Super C Season (Naeto C)
Shizzy- Dami Duro (Davido)
J Sleek- Private Trips (Wande Coal)
Jesse Jags – E.L.I (Ice Prince Zamani)

BEST MUSIC VIDEO (AWARD GOES TO DIRECTOR)

5 & 6 (Naeto C)- Clarence Peters
Chop My Money Remix (Psquare feat May D & Akon)- Jude Engees Okoye
Ara (Brymo)- Aje
Kosorombe (DIPP feat Da Grin)- MEX
BEST R ‘N’ B SINGLE

Private Trips- Wande Coal
Stupid Song- Bez
N.A.W.T.I- Olu Maintain
Sound Track- May D
Love Me (3x)- Tiwa Savage

BEST POP SINGLE

Dami Duro- Davido
Oliver Twist- Dbanj
Gaga Crazy- Chuddy K
Chop My Money- Psquare
Kukere- Iyanya
BEST R ‘N’ B/ POP ALBUM
Superstar- Wizkid
Super Sun- Bez
Versus- 9ice
The Invasion- Psquare
BEST RAP SINGLE

Too Much Money- Iceberg Slim
Shutdown- Phyno
Angeli- Vector feat. 9ice
OMG (Oh My Gosh)- Yung6ix
Young Erikina- Olamide
BEST RAP ALBUM
E.L.I- Ice Prince
The Dreamer Project- Show Dem Camp (SDC)
Rapsodi- Olamide
Super C Season- Naeto C
LYRICIST ON THE ROLL

Vector- Angeli
Yung6ix- OMG (Oh My Gosh)
Iceberg Slim- Too Much Money
Phyno- Shutdown
Erigga- Mo Street Gan
BEST COLLABO

Chop My Money remix- Psquare feat. Akon & May D
Angeli- Vector feat. 9ice
Carolina- Sinzu feat. Davido
Stupid Song- Bez feat. Praiz
Orobo- Sound Sultan feat. Excel & Flavour
BEST VOCAL PERFORMANCE (MALE)
Wande Coal- Private Trips
Banky W- Low Key
Praiz- Love You
Brymo- Ara
Bez- Stupid Song
BEST VOCAL PERFORMANC (FEMALE)

Tiwa Savage- Love Me (3x)
Chidinma- Kedike
Ijeoma- Oloomi
Waje- Na The Way
AFRICAN ARTIST OF THE YEAR

Sarkodie (Ghana)- Azonto
Camp Mulla (Kenya)- Feel No Pain
D-Black (Ghana)- Get On The Dancefloor
Zahara (South Africa)- Loliwe
BEST STREET HOP

Kaoko Bi Chicken- Reminisce
Gaga Crazy- Chuddy K
Akpako- Terry G
Roll- Rayce
Mo Street Gan- Erigga
NEXT RATED
Davido
Eva (Alordiah)
Praiz
Chuddy K
HIP HOP WORLD REVELATION OF THE YEAR

Wizkid
Ice Prince Zamani
Bez
Timi Dakolo
Olamide

Watu wawili wanaodaiwa kutaka kumuua Ali Kiba wasema walitumwa na TID


TID

kumevuma habari kuwa mwanamuziki wa Bongo Flava Khalid Mohamed aka Top In Dar, anashikiliwa na polisi baada ya kushutumiwa kuwa alipanga njama za kumuua msanii mwenzie Ali Kiba.

kupitia XXL ya Clouds FM, meneja wa Ali Kiba amezungumza kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa hizo.

Ali Kiba
Anasema ni kweli walipata ujumbe unaosema kuwa kuna watu waliokuwa wametumwa kwenda kumuua  Ali Kiba.

"Baada sasa ya taarifa hizo  kuifikia familia, iliamua kuripoti jambo hilo polisi, polisi walifika eneo lile na kulikuwa kuna watu wawili, mwanaume na mwanamke ambao walifika maeneo jirani na pale Ali Kiba anaishi wakawa wameweka kambi pale kwa muda wakijaribu kuchunguza hili na lile. Sasa baada ya watu wa karibu kuwaona na kutowatambua vizuri waliamua kuwafuatlia na kuwaweka chini baada ya kuwakamata. 

Walipowahoji vizuri wakasema kwamba ni kweli wao wametumwa kuja kufanya jambo hlo hapo kwa Ali Kiba na wao sio wenyeji wa Dar es Salaam wametoka mikoani. Walipoulizwa ni nani ambaye amewatuma kuja kufanya hilo jambo wakawa wamemtaja TID Kwamba moja kwa moja yeye ndo anahusika. Basi moja kwa moja gari la jeshi la polisi likaenda kumkamata TID na hatimaye kumfikisha kwenye kituo cha polisi cha kati ambapo yupo mpaka hivi sasa anashikiliwa."

Ameongeza kuwa TID na watu hao walikutana katika maeneo ya Mtoni Kijichi kupanga mpango huo wa kumuua Ali Kiba.

Watangazaji wa Sunrise Radio Arusha wagoma, waandika barua nzito




Watangazaji wa kituo cha radio cha Sunrise cha jijini Arusha wamegoma kufanya kazi kutokana na uongozi wa kituo hicho kushindwa kuwatimizia matakwa yao ikiwa pamoja na kulipwa ujira mdogo na wengine kufanya kazi bila kupewa mikataba.

Hii ni barua waliyoiandika:

Ndugu wanahabari sisi baadhi ya wafanyakazi wa Sunrise Radio Arusha kuanzia tarehe 22/8/2012 tumeamua kugoma kuendelea kufanya kazi na Aspire Media Company Limited ambao ndio wamiliki wa Sunrise Radio 94.8 FM Arusha baada ya kushindwa kutimiziwa mambo kadha wa kadha tuliyokuwa tunayahitaji.

Mgomo huu ulianza kama mgomo baridi mnamo tarehe 10/8/2012 baada ya sherehe za wakulima nane nane na hii ni baada ya kutokea tofauti kati ya mkurugenzi wa ufundi wa Sunrise Radio ndugu Dionis Idowa Sikutegemea Moyo na kamati ya sherehe za wakulima nane nane mwaka 2012 ambao ndiyo waliokuwa na jukumu ya kurusha matangazo ya moja kwa moja yaani live kutoka katika viwanja vya taso nane nane Njiro.

Ndugu wanahabari mgomo huu umesababishwa pia na kutofanyiwa kazi kwa madai ya wafanyakazi, wafanyakazi tumekua tukifanya kazi katika mazingira magumu kwani:-

a) Tunalipwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji (mshahara wa 100,000 na wengine 170,000)

b) Kufanyishwa kazi bila kuwa na mikataba, tukidai mikataba tunapigwa tarehe

c) Kutokatwa makato kwenye mishahara kwaajili ya pensheni

d) Baadhi ya wafanyakazi kufanyishwa kazi bila kulipwa
e) Hakuna overtime payment

f) Wafanyakazi kutishiwa kufukuzwa mara kwa mara pale wanapodai haki zao

g) Hakuna likizo

h) Waandishi wa habari walioripoti live ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki tarehe 1/4/2012 kutolipwa posho zao hadi leo na wengine walidai na hatimaye wakafukuzwa kazi

i) Mishahara wa wafanyakazi kucheleweshwa kulipwa kwani utakuta mshahara wa mwezi huu tunaweza kulipwa mwezi ujao katikati au mwishoni
j) Mkurugenzi wa ufundi kutishia kumfukuza kazi mhasibu kwa maslahi yake binafsi

k) Wafanyakazi wanaofanya vipindi vya usiku kutopewa usafiri wakati wa kwenda na kurudi kitu ambacho kinamlazimisha mtangazaji kulala studio kwa lazima

l) Gari la ofisi kutotumika kwa mahitaji ya ofisi bali kwa maslahi ya mkurugenzi wa ufundi

m) Mishahara ya mwezi July ya baadhi ya wafanyakazi kuzuiliwa kuanzia tarehe 1/8/2012 hadi leo hii tarehe 22/8/2012 kwa sababu zisizo za msingi
Ndugu wanahabari, kwa madai hayo hapo juu sisi wafanyakazi wa sunrise radio hatupo tayari kurudi kazini mpaka pale mkurugenzi wa ufundi ndugu Dionis Idowa Sikutegemea Moyo atakapojiuzulu nafasi yake na madai ya wafanyakazi yatakapokua yametatuliwa.

Dionis Idowa
Tunaipenda sana Sunrise Radio bila kuwasahau wasikilizaji wetu pia tunawapenda sana ila tumeona ni vyema kuyaweka bayana haya yote ili mtuelewe na pia ni majibu ya baadhi ya maswali mliyokuwa mnatuuliza wasikilizaji wetu wapendwa.

NDUGU WANAHABARI WAFANYAKAZI WA SUNRISE RADIO WALIOGOMA KUFANYA KAZI IDADI YAO NI KUMI NA WAWILI (12) WAKIWEMO

a) WATANGAZAJI 4
b) MARIPOTA 2
c) WATU WA MASOKO 3
d) WAZALISHAJI WA VIPINDI 2 NA
e) MHASIBU 1
WAFANYAKAZI HAO WAMEGOMA KUTOKANA NA MADAI YAO HAPO JUU PAMOJA NA MADAI MENGINE MENGI AMBAYO HAYAJAORODHESHWA
MAJINA YA WAFANYAKAZI WALIOGOMA NI HAYA YAFUATAYO

1. SEVERINUS MWIJAGE Jr – MTANGAZAJI
2. BEATRICE GERALD NANGAWE – MTANGAZAJI
3. EMMANUE MWAKALUKWA – MTANGAZAJI
4. JALACK ALLY – MTANGAZAJI
5. HAMIS ABTWAY (DJ HAAZU) – MTANGAZAJI, MZALISHA VIPINDI NA DJ
6. BERTHA ISMAIL – RIPOTA
7. ONESMO LOY – RIPOTA
8. JOSEPH AMANI – MZALISHAJI WA VIPINDI
9. ALLY CHARO – MENEJA WA MASOKO
10. RODGERS I. NELSON – MHASIBU
11. WITNESS RAYMOND – MASOKO
12. HAPPYNESS ALPHONCE – MASOKO
ASANTENI SANA KWA KUTUSIKILIZA

Kim Kardashian atupa nguo zake zote sababu ya Kanye West



Kanye West anamtaka mpenzi wake Kim Kardashian avae mavazi ya heshima na ya kuvutia.

Katika kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, rapper na mbunifu huyo wa mavazi, 35 – ameweka deal na mpenzi wake huyo wa miezi mitano kuwa kama atazitupa nguo zake zote atamnunulia zingine.
You need to have the Adobe Flash Player to view this content.

Maisha Plus 2012: Baada ya Lushoto ni Sanya Juu, K'njaro



Awamu ya kwanza  ya zoezi la kwasaka vijana watakaoweza kumudu mchakamchaka wa shindano la Maisha Plus, imeanza huko Bagamoyo mkoani Pwani.


Baada ya hapo ratiba za audition zitaendelea kama ifuatavyo;


Agosti 29- Kilimanjaro/ Sanya juu
Usaili utafanyika katika mji wa Bomang’ombe
Agosti 30- Arusha/ Ngorongoro
Usaili utafanyika Karatu
Agosti 31 – Singida
Usaili utafanyika Singida Mjini
Septemba 1- Iramba
Usaili utafanyika Iramba Mjini
Septemba 2- Dodoma
Usaili utafanyika Kondoa Mjini
Hii ni awamu ya kwanza ya usaili wa shindano hili, audition zitaendelea stay tuned kwaajili ya tarehe na mahali ya auditon zitakazoendelea……….

Kurasa za ngono zatawala Facebook, zifahamu zilizo maarufu Tanzania





Unaikumbuka blog ya Ze Utamu ilivyokuwa maarufu enzi hizo? Kama ingekuwepo hadi leo tunaamini ingekuwa blog inayosomwa pengine kuliko zote nchini. Bahati mbaya ama nzuri blog hiyo ilifungwa kitambo na mmiliki kukiona cha mtema kuni baada ya polisi wa kimataifa kumkamata na Mungu ndio anajua mtu huyo yuko wapi sasa hivi.

Lakini sasa hivi wakati ambao mitandao ya kijamii kama Facebook imejipatia umaarufu nchini, kuna makundi ama kurasa zimefunguliwa na kujipatia umaarufu mkubwa.

Kurasa hizo hazina tofauti sana na yaliyokuwa maudhui ya blog ya Ze Utamu. Kile kinachoandikwa na picha zinazowekwa ni za ngono zaidi. Picha nyingi zinazoonekana ni za wanawake walionusu uchi ama uchi kabisa ambazo nyingi zimekuwa zikipata maoni mengi kutoka watu waliojiunga na kurasa hizo.

Kwa sasa kurasa hizo za ngono zimekuwa maarufu kiasi cha kuanza kuzizidi hata zile zinazozungumzia masuala ya muhimu kama vile siasa nk.

Ni ukweli usiopingika kuwa ngono huvuta hisia za wengi, lakini swali ni Je! Kuongezeka kwa umaarufu wa makundi haya kwenye mtandao wa Facebook ambao lengo lake lilikuwa ni kuwakutanisha marafiki na jamaa na kufahamu mengi yanayoendelea katika maisha na pia makampuni makubwa yakiutumia mtandao huo kama njia ya kuwasiliana na wateja, kunaifanya Facebook iwe mtandao usio na maadili kuliko mingine kama Twitter? 

Je huu ni mwanzo wa mtandao huo kuchimbiwa kaburi na watumiaji wake?

Tunachaane na hayo na sasa tukupe fursa ya kuzifahamu kurasa hizo zilizo maarufu zaidi nchini.

1. Jicho la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.

Maelezo: Katika mwili wako wote ,.. jaribu sana kulitunza Jicho.

Likes 12,566


2. Bongo Hotties (Hot o Not)

Maelezo: Feel free to inbox us if u want ur pic 2 b posted here.. Only Hotties

Likes 10,196


3. Universal Tanzanian jokes

Maelezo: it's all about jokes and nude photos

Likes 9,703


4. YaNi UtAmU UnAkUjA . YaNi UtAmU UnAkAtA

Likes  7,713 


5. Kijiwe Cha Story Za Wakubwa

Likes 7,058 


6. Karibu Upate Utamu

Likes 1,713 


7. Malaya Sinza

Maelezo: KARIBU UCHAT NA MIMI NA UJUE MAMBO MENGI YA KIMAISHA HASA YANAYOHUSU STAREHE.
JIPATIE HUDUMA ZIFUATAZO:

1. Kujua njia mbalimbali za kufanya mapenzi
Likes 1,713 




Matonya 'ombamba' afariki dunia




Yule ombamba maarufu kuliko wote nchini , Matonya amefariki duniani.

“Namtaarifu Komredi Yusufu Makamba, kuwa yule kiboko yake 'MATONYA' amefariki usiku wa kuamkia juzi kijijini kwakwe Mpamantwa wilaya ya Bahi, mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni kijijini hapo. Habari ziwafikie, Mkuu wa Wilaya Betty Mkwasa, Familia ya Mzee Makamba popote walipo, wakazi wa Dar na Moro pamoja na ndugu jamaa na marafiki wote. Bila ya kusahau wale wa eneo la Darajani Mjini Morogoro", ameandika mwandishi wa habari Habel Chidawali ambaye amewahi kumfanyia mahojiano ombamba huyo.

Matonya amefariki akiwa anaishi kwenye nyumba ya tembe ambayo ni mali  ya mtoto wake wa kike aitwaye Elizabeth Matonya.

Nyumba hiyo ya asili ya watu wa Dodoma ipo kwenye Kijiji cha Bahi Sokoni katika Kitongoji cha Nghungugu, umbali wa kilomita 3 kutoka yalipo makao makuu ya wilaya ya Bahi.

Katika mahojiano aliyofanya na Habel, Matinya enzi za uhai wake alisema kuwa hana mali yoyote kama wengi walivyokuwa wanadhani.

“Watu wanasema kuwa nina mali, lakini ni ‘walambi’ (akimaanisha kwamba ni waongo). Mimi sina kabisa mali; hata mbuzi; hata kuku sina na wala sina mpango wa kununua tena hata kama nina pesa kwa kuwa walishazoea kuniibia, hivyo sitaki tena kuwa na mali.”

Nilikuwa na ng’ombe wengi sana. Kila wakati walikuwa wakiwaiba wakati ninaishi Kilimatinde na ng’ombe hao nilinunua kwa pesa yangu ya kuomba huko Dar es Salaam. Walikuwa wengi lakini waliibwa wote na ndugu zangu.

Kuhusu kuacha kuomba

Jibu: Labla serikali inijengee nyumba nzuri hapa na inipe mtu wa kunitunza au hata wakijenga nyumba nzuri kwa mtoto wangu halafu wanisaidie na chakula pamoja na chai ya kila siku, mimi naweza kustaafu kazi yangu lakini bila ya kufanya hivyo kazi yangu nitakufa nayo.

Katika mahojiano hayo Matonya alisema alikuwa akipata kati ya Sh50,000 hadi 100,000 kwa mwezi na mara nyingi alikuwa akirudi kijijini kila baada ya miezi miwili au mitatu tangu alipoanz`a kazi hiyo mwaka 1961.

Wanasayansi wagundua nyoka mwenye umbo kama ‘uume’




Wanasayansi nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka vipofu wenye umbo kama uume wa binadamu.

Tuwie radhi kama picha hizi zitakuondolea hamu ya kula lakini huu ni uumbaji wa Mungu.

Nyoka hawa wa ajabu aina ya ‘atretochoana eiselti’ walipatikana kwenye bwawa la kuzalisha umeme ambapo wakandarasi walikuwa wakifanya ukarabati kwenye misitu ya Amazon.

Wana baiolojia waliwapata nyoka hawa wenye umbo la ajabu sita wenye urefu wa mita moja chini ya mto Madeira huko Rondonia, Brazil.

Nyoka huyo anaweza akawa na muonekano usiopendeza lakini huu ni ugunduzi unaovutia kwa wanayasansi wanaomini kuwa wanauhusiano na vyura.

Wanasayansi wamesema licha ya viumbe hao kuonekana kama nyoka lakini sio jamii ya reptilia.

Mara ya kwanza waligunduliwa America ya Kusini mwaka 1968.

Kanye kwenye Twitter: ‘I just f**ed Kim so hard



Iwe aliandika kwa utani ama vyovyote, Kanye amefanya kitu ambacho kinatarajiwa kupigiwa kelele sana. Tweet hii ameifuta sekunde chache tu baada ya kuiandika lakini watu wameinasa.

Swali kwenye kila mdomo wa shabiki wake, kwanini atweet kitu kama hicho?
Hata kama anamchukulia Kim Kardashian kama ‘Perfect Bitch’ ndio aandike hivyo?

Hivi karibuni Kim alisema kuwa amepungua uzito kwasababu Kanye anampiga mikasi kisawasawa, kwa tweet hiyo tumeamini! It’s crazy!!!

NANI is offering to drop his wage demands in an attempt to save his future at Manchester United

.

Nani
NAN'S BREAD ... winger is asking for less


Barcelona 3-2 Real Madrid: Xavi clinches narrow first-leg triumph


Tito Vilanova's first Clasico ended on a mixed note, as a howler from Victor Valdes gifted the visitors a late goal and leaves the second leg of the Supercopa on a knife-edge

Cristiano Ronaldo, Dani Alves - FC Barcelona v Real Madrid
 
 
Barcelona drew first blood against Real Madrid in the battle for Spanish supremacy this season, narrowly defeating their great rivals 3-2 in the first leg of their Supercopa clash at Camp Nou on Thursday.

However, a moment of madness from Victor Valdes gifted Angel Di Maria a goal with five minutes to go, leaving matters finely poised for the second leg in six days at Santiago Bernabeu.

A cagey first-half saw the home side dominate the ball, but struggle to find a way through a resilient rearguard effort from Jose Mourinho's men. But the match changed completely in the second half, as Cristiano Ronaldo gave the visitors a shock lead in the 55th minute with a header from a corner.

Barca would hit back instantly through Pedro, before a Lionel Messi penalty and a beautifully worked goal from Xavi put them in the driving seat. Valdes' error then provided Di Maria with the easiest of finishes.
Tito Vilanova dropped Christian Tello to the bench for Alexis Sanchez, despite the former’s impressive performance in the 5-1 win over Real Sociedad last weekend, while new signing Alex Song did not make the match day squad in time.
Mourinho, meanwhile, drafted in Raul Albiol in the centre of defence for the injured Pepe, while Karim Benzema started as the lone striker ahead of Gonzalo Higuain.
Madrid started brightly, but were not able to sustain it for long as Barca began to assert their dominance in the middle of the park, with Andres Iniesta in particular looking lively.

Messi should have found the target in the 19th minute after latching on to Dani Alves’ cutback just inside the box, but his effort flew the wrong side of the post. The Argentine would miss an even better chance 10 minutes later, poking wide from a good position after dancing around two defenders in the area.
The match seemed to be settling into a war of attrition, though Pedro almost livened things up on the half hour mark with a swerving shot that forced Casillas to save at full stretch.
The home fans were up in arms in the 38th minute, though, after a theatrical tumble from Sanchez from a challenge by Fabio Coentrao in the box went unacknowledged by the referee.
It was a hopeful shout at best, and the game began to get scrappy as the first half ended. First, Arbeloa was shown yellow for flattening Busquets, before Javier Mascherano joined him in the book after chopping down Coentrao.
Busquets was not having an easy time in the middle of the park, and was felled again by Albiol shortly after the restart, for which the Madrid defender also saw yellow.
The Barcelona midfielder would then make a fatal error in the 55th minute, as he lost sight of Ronaldo defending a corner, allowing the Portuguese to nod the visitors into a surprise lead.
Madrid’s joy lasted only seconds though, as straight from kick-off, Barca drew level.

Mascherano’s searching ball from his own half picked out Pedro on the left, who accelerated away from Coentrao to slot the hosts back on terms, despite calls from the visitors for offside.
The shackles were finally off, as Barca looked to press ahead. Alves was picked out by Messi on the overlap, only for Casillas to tip his low shot around the post.
Then, with 68 minutes gone, a clumsy tackle by Sergio Ramos brought down Iniesta in the area, giving referee Gomez no choice but to point to the spot. Messi stepped up to send Casillas the wrong way and put Barcelona back in front.

Xavi appeared to put matters beyond any doubt 10 minutes later after slotting home from a superb setup from Iniesta, who ghosted past multiple challenges before putting the chance on a plate for his midfield colleague.
However, in the 85th minute, a howler from Valdes dragged Madrid back into the game and the tie.
The Barcelona keeper appeared to be under little pressure when collecting a backpass, but saw the ball stick under his feet, allowing Di Maria enough time to steal in and poke into the back of the net, giving the visitors a lifeline for the second-leg.

HAWA NDIYO WASHINDI WA BIBI BOMBA......










SHINDANO la ‘Bibi Bomba’ lilikuwa likiratibiwa na kituo cha Clouds TV, usiku wa kuamkia jana limefikia tamati na Veronica Mpangala akiibuka mshindi wa kitita cha 5,000, 000/= (milioni tano) nafasi ya pili ilichukuliwa na Anna Saidi ambaye alijipatia kiasi cha shilingi milioni tatu, na mshindi namba tatu alikuwa ni Nasra Mohamed ambaye alijipatia kiasi cha shilingi milioni moja na nusu.