HAWA NDIYO WASHINDI WA BIBI BOMBA......










SHINDANO la ‘Bibi Bomba’ lilikuwa likiratibiwa na kituo cha Clouds TV, usiku wa kuamkia jana limefikia tamati na Veronica Mpangala akiibuka mshindi wa kitita cha 5,000, 000/= (milioni tano) nafasi ya pili ilichukuliwa na Anna Saidi ambaye alijipatia kiasi cha shilingi milioni tatu, na mshindi namba tatu alikuwa ni Nasra Mohamed ambaye alijipatia kiasi cha shilingi milioni moja na nusu.

No comments:

Post a Comment