Kim Kardashian atupa nguo zake zote sababu ya Kanye West



Kanye West anamtaka mpenzi wake Kim Kardashian avae mavazi ya heshima na ya kuvutia.

Katika kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, rapper na mbunifu huyo wa mavazi, 35 – ameweka deal na mpenzi wake huyo wa miezi mitano kuwa kama atazitupa nguo zake zote atamnunulia zingine.
You need to have the Adobe Flash Player to view this content.

No comments:

Post a Comment