Picha za utupu za Ciara zasambaa,inasemekana zilikuwa ni zawadi kwa 50 Cent.


Ciara
‘Like a boy singer’ Ciara amekuwa top story kwenye mitandao mbalimbali hivi karibuni, baada ya picha zinazomuonesha akiwa mtupu kama alivyozaliwa kabla hajazigusa pamba kusambaa mtandaoni. Inasemekana kuwa Ciara alipiga picha hizo yeye binafsi na ilikuwa ni zawadi ya birthday kwa ex-boyfriend wake 50 Cent mwezi July.
Katika picha hizo ambazo zilioneshwa na MediaTakeOut, Ciara anaonekana kachorwa aina ya nguo ya ndani kwa mapambo kuficha sehemu ya mwili wake. Inaonekana ilifanyika kitaaluma na imeripotiwa kuwa picha hizo zilichukuliwa behind the scene katika photo shoot binafsi.

Moja ya picha za  utupu za Ciara picha zilizosambaa

No comments:

Post a Comment