Rihanna apost picha akimkiss Chris Brown kwa pozi matata, aandika "F**kyopictures I dont wanna leave!!! Killed it tonight baby!!!"



‘The Diamonds hitmaker’ Rihanna anazidi ku-make headlines na story yake yenye utata wa mahusiano kati yake na Chris Brown baada ya wawili hao kukana kuwa na mahusiano ya kimapenzi hivi karibuni.

Juzi the R&B Diva alipost picha kupitia Instagram ikimuonesha yeye na Chris Breezy wakiwa katika pozi matata wakati Rihanna amevaa T-shirt nyeupe na kanguo kafupi keupe kanakoonesha hips zake.

Wakiwa wameipa kamera mgongo, Rihanna aliizungusha mikono yake kwenye shingo la ‘Don’t Wake Me Up singer’ na kumkiss kichwani. Chris anaonekana kalala kwenye kochi wakati Rihanna akiwa kampandia kwa juu
akiwa ameikunja miguu yake . Of course you can tell kwamba hili ni pozi matata la wapendanao.
Rihanna akimkiss na kumhug Chris Brown
Kwenye post ya picha hiyo mrembo Rihanna aliisindikiza na caption inayosomeka, “F**kyopictures i dont wanna leave!!! Killed it tonight baby!!!

Ni kama fans wake wengi wameielewa hivi hii picha na wameipokea positively, baadhi yao walitupia comment zao kwenye picha hiyo. Mmoja aliandika, “The queen n king are back!!!”, mwingine akatupia, “Team Chrianna.”

Lakini mmoja wa fans hao alikuwa na maoni tofauti na hakupenda anachofanya Rihanna na kwa mtazamo wake ni kama wanafanya hivyo kumuumiza ex-girlfriend wa Chris Breezy, Karrueche Tran.

Yeye aliandika, “ SMFH im mad shes the only one going out her way to prove to karreuche that they now together when chris all ? this will be over before we know it because u don’t play with someone’s genuine feelings like that.”

No comments:

Post a Comment