Cassidy & Meek Mill’s beef new chapter…Cassidy aachia ‘a diss track’ mpyaaaaaaa….!!!!!


Meek Mill & Cassidy

Ukurasa mpya umefunguliwa kwa beef kati ya Cassidy na Meek Mill.
Mtu mzima Cassidy amedondosha ngoma mpya “Me, Myself & iPhone”, ngoma ambayo humo ndani Cassidy eti ni kama anajiuliza maswali kuhusu status yake kwenye game na kujijibu, na katika verse ya tatu amemtaja kwa jina kabisa Meek Mill.
"He said he wanna battle niggas, but when I took him up on his offer he started to reconsider/ That cat lame on every song he rap the same/ That cat changed he got a deal and don't act the same/ That nigga wilding cause he sold a couple hundred thousand/ But I sold triple what that nigga sold my first album/ He not selling cause that nigga can't stop yelling/ He know he can't fuck with you that nigga look up to you/ That ain't nothing new I raised son/ I was around when that clown couldn't even get his braids done/ Why he dropped that 'I'm a Boss' shit?/ Cause his boss say he a BAWSE and he just on his boss dick."
Hizo ni baadhi ya lines zinazopatikana kwenye ngoma hiyo mpya ya Cassidy…lines zinazom’diss moja kwa moja Meek Mill…
Muda mfupi baada ya Cassidy kuachia ngoma hiyo Meek Mill aka-respond kupitia twitter. Rapper huyo kutoka Maybach Music amesema rapper huyo mwenzake kutoka Philadelphia, Pennsylvania amekuwa chizi na kwamba yuko tayari ku’battle nae.
“Nimesikia diss yako…naweza sema umekuwa chizi…sivyo ulivyo…nakuonea huruma sana…mimi na Cassidy tulipokuwa tumefungwa jela moja ….alikuwa kwenye uangalizi maalumu…mimi nilikuwa kwenye drama block..TOFAUTI...”..Ndivyo alivyoandika Meek Mill na kuongeza mambo mengine kibao.
Kwenye Tweet nyingine Meek amesema zaidi anachokihitaji ni battle itakayoingiza mkwanja kwa ajili ya ku-donate hospitals na shule mbalimbali hasa huko kwao Philadelphia, Pennsylvania coz zinahitajika pesa nyingi sana na kusema battle hiyo ilianza jana.
Baada ya tweet hiyo Cassidy akajibu kwa ufupi tu ..”I gave you months to respond….tomorrow..?? Nilidhani huta’battle…Hii ngoma imekubana eehh..??step them bars up”.
Awali wakati wa vuguvugu za beef kati ya wawili hawa…Cassidy alishawahi kusema eti Meek Mill ahitaji ‘a diss track’ na sababu alizozitaja ni kwamba…Meek Mill bado hajafanya chochote katika muziki…so ni ngumu kum’diss mtu ambaye mchango wake kwenye muziki bado haujaonekana.

No comments:

Post a Comment