VIDEOS

Hii ndiyo video iliyoangaliwa na watu wengi zaidi kupitia YouTube ‘Gangnam Style’, imemfunika Bieber..

Video yenye dakika nne tu ‘Gangnam Style’ ya mwimbaji kutoka Korea kusini ‘Psy’ imechukua nafasi ya kwanza kama video iliyotazamwa zaidi kupitia YouTube nafasi ambayo ilikuwa imeshikiliwa na mcanada Justin Bieber na video yake ‘Baby’.
Gangnam Style ilianza kuonesha dalili za kufika juu mwazoni mwezi huu baada ya kuifunika video ya Jenifer Lopez ‘On The Floor’ iliyokuwa katika nafasi ya pili. “Gangnam Style” imeangaliwa na watu zaidi ya 805,000,000 tangu imewekwa YouTube July 15, 2012.
Wakati huohuo video ya Bieber ‘Baby’ ilikuwa na watazamaji zaidi ya 803,000,000 kuanzia February 2010 ilipoachiwa rasmi.
“Gangnam Style” imeweka rekodi nyingine kwa kuwa video yenye Likes nyingi zaidi kuliko zote zilizowahi kuwekwa YouTube. Ina zaidi ya Likes Million 5.3 na Disliles 320,000. Kwa upande wa ‘Baby’ ya Bieber imepata likes zaidi ya million 1.4 na zaidi ya dislikes zaidi ya million 3.1.
Lakini video hizi mbili ‘Baby’ na ‘Gangnam Style’ ziko chini ya management moja ya Scooter Braun.
Hata hivyo Bieber na Psy hawajawahi kukutana japokuwa wanampango wa kufanya wimbo wa pamoja. Bieber aliwahi kusema, “tuliwasiliana kwa simu tu na akasema, ‘Hey, watu wengi wananiuliza ulishakutana na Bieber?’ alichonambia ni kwamba yeye ni mzuri sana kwenye kucheza.” Alifunguka Bieber.



...............................................................................................................................................................
Beyoncé sings "I Was Here" for World Humanitarian Day. 

In between holding it down for her hubby, Jay-Z and being a killer mom to adorable Blue IvyBeyoncé is also the nicest, most giving person ever. As we mentioned earlier, Beyoncé had plans to release her "I Was Here" video in conjunction with World Humanitarian Day which incidentally, is TODAY!
Beyoncé announced the news via a heartfelt message on her website, and she's encouraging her fans to spread her message -- and take actions to help others -- aWHD-IWasHere.org. (You should REALLY visit the site after watching Bey's video after the jump.)
Aren't you in love with her right now? And we haven't even mentioned how stunning she looks in the actual "I Was Here" video yet!

No comments:

Post a Comment