Kanye kwenye Twitter: ‘I just f**ed Kim so hard



Iwe aliandika kwa utani ama vyovyote, Kanye amefanya kitu ambacho kinatarajiwa kupigiwa kelele sana. Tweet hii ameifuta sekunde chache tu baada ya kuiandika lakini watu wameinasa.

Swali kwenye kila mdomo wa shabiki wake, kwanini atweet kitu kama hicho?
Hata kama anamchukulia Kim Kardashian kama ‘Perfect Bitch’ ndio aandike hivyo?

Hivi karibuni Kim alisema kuwa amepungua uzito kwasababu Kanye anampiga mikasi kisawasawa, kwa tweet hiyo tumeamini! It’s crazy!!!

No comments:

Post a Comment