Maisha Plus 2012: Baada ya Lushoto ni Sanya Juu, K'njaro



Awamu ya kwanza  ya zoezi la kwasaka vijana watakaoweza kumudu mchakamchaka wa shindano la Maisha Plus, imeanza huko Bagamoyo mkoani Pwani.


Baada ya hapo ratiba za audition zitaendelea kama ifuatavyo;


Agosti 29- Kilimanjaro/ Sanya juu
Usaili utafanyika katika mji wa Bomang’ombe
Agosti 30- Arusha/ Ngorongoro
Usaili utafanyika Karatu
Agosti 31 – Singida
Usaili utafanyika Singida Mjini
Septemba 1- Iramba
Usaili utafanyika Iramba Mjini
Septemba 2- Dodoma
Usaili utafanyika Kondoa Mjini
Hii ni awamu ya kwanza ya usaili wa shindano hili, audition zitaendelea stay tuned kwaajili ya tarehe na mahali ya auditon zitakazoendelea……….

No comments:

Post a Comment