HUYU NDIO MWIMBAJI WA COUNTRY ALIESEMA ANAMCHUKIA RAIS OBAMA.


.
Mwimbaji maarufu wa muziki wa Country Marekani Hank Williams Jr. ambae mwaka jana alimkosoa Rais Obama na kumfananisha na katili Adolf Hitler, amerudi tena na kauli nyingine mwaka huu.
Hank akiongea mbele ya umati ambao ulishangilia kwa kumuunga mkono kwa kauli hii kwa mujibu wa mtandao wa G0t, alikaririwa akisema “tuna rais Muislam anaeichukia Marekani, analichukia jeshi, anachukia kilimo.. na sisi tunamchukia pia”

No comments:

Post a Comment