Mfahamu muigizaji wa TV Show anaelipwa pesa nyingi zaidi duniani.


Ashton Kutcher
Kwa mujibu wa Forbes staa wa TV show inayoitwa ‘Two and Half Men’ Ashton Kutcher ndiye muigizaji anaelipwa mkwanja mrefu zaidi kati ya TV actors wote.
List iliyotolewa katika magazine inaonesha Ashton Kutcher mwenye umri wa miaka 34 anaongoza katika list ndefu ya waigizaj katika television kwa kulipwa $24 mililion kwa kati mwezi May 2011 na May 2012.
Waigizaji wanaomfuatia ni muigizaji wa uingereza Hug Laurie na mchekeshaji Ray Romano ambao wamefungana katika nafasi ya pili kwa kulipwa $18 Million.

No comments:

Post a Comment