HILI NDILO JUKWAA LA SERENGETI FIESTA 2012. from Diamond website.


Huu ni mfano wa Jukwaa la Serengeti fiesta 2012 ambalo pia mkali kutoka Frolida Marekani
Rick Rozay atakanyanga kwa ajili ya kuwapa shangwe mwapenda burudani wote katika
nchi hii ya Jk ambao watajitokeza katika viwanja vya Leaders Kindondoni jijini Dar akiwa
sambamba na wakali kibao kutoka bongo Fleva.


No comments:

Post a Comment