K-Lynn ajifungua watoto mapacha.


Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo mbalimbali, zinasema muimbaji na mrembo aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania 2000 Jaqueline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lyn amejifungua watoto mapacha wa kiume.  

Congratulations K-Lyinn.

No comments:

Post a Comment