Picha: Tazama picha za utengenezwaji wa video ya Mabeste " SIRUDI TENA"



Mwezi mmoja uliopita msanii Mabeste ali shot video ya wimbo wake unaoitwa "Sirudi Tena". Zoezi zima la video shot hiyo lilisimamiwa na director Hassan Kundamayi wa HK Vision. Mabeste ameiambia Leotainment kuwa anategemea video hiyo itakamilika na kutoka siku chache kuanzia sasa.

see more on videos page.

No comments:

Post a Comment