Nani mkali Beyonce au Rihanna?James Bond asema Rihanna ni ‘dirtier’ zaidi ya Beyonce!



Kila mmoja akiulizwa hili swali atakuwa na sababu zake za msingi kumchagua mmoja kati ya Rihanna na Beyonce, na kama ukianzisha debate ya makundi mawili moja linalomsapoti Rihanna na jingine Beyonce hautamaliza mjadala. Lakini hii haikuwa shida sana kwa James Bond hero (Daniel Craig).
Mkali wa huyo wa action movie anayejulikana zaidi kwa kucheza movie kwa kulivaa jina la James Bond hivi karibuni amezungumzia movie yake mpya “Skyfall” na amesema anaona Rihanna angeweza kufanya vizuri zaidi on-screen 007 love interest zaidi ya the  Diva Beyonce.
The James Bond hero ameelezea alivyojisikia baada ya kuwa New York akifatilia uchaguzi wa urais wa marekani, na vilevile alimchagua hip-hop star ambae atakamilisha idea yake ya Bond Girl. Katika interview aliyofanya huko New York alilizwa ni nani kati ya Rihanna na Beyonce ambaye anadhani atafiti sana kuwa the Bond Girl, bila kusitasita alisema ni mwanadada Rihanna, “Yeah, she is dirtier”.

Rihanna
Rihanna hivi karibuni ametokea mara nyingi kwenye mitandao akiwa kasaula, pia ameng’arisha jarida la GQ kwa picha yake akiwa na leather jacket tu kwa juu.
Rihanna anatarajia kuzishangwesha nchi saba ndani ya siku saba katika tour yake ya ‘777’ akiwa anaitangaza album yake inayosubiriwa kutoka hivi karibuni ‘Unapologetic’.

No comments:

Post a Comment