Producer wa Lady Gaga amporomoshea matusi Nicki Minaj: “F*ck You, Get A Grip”

Lady Gaga                                Nicki Minaj

Mshindi wa tuzo za Grammy producer DJ White Shadow amemporomeshea matusi rapper wa kike toka Young Money Nicki Minaj na kuuliza thamani yake halisi.
Producer huyo ambae alimsaidia Lady Gaga kutengeneza album yake ya tatu ‘Born This Way’ alimchana Nicki Minaj kupitia mtandao wa twitter na kudai kuwa Nicki Minaj hana kipaji ila ana bahatu tu, tweet yake ilisomeka, “Ok. Nick Minaj. F**K you. Get a grip. You are lucky, not talented. Stop. Please stop. XO. DJWS.” Hata hivyo tweet yake ilifutwa muda mfupi baadae.
Lakini alirudi tena na kuendelea kumchana Nicki Minaj na kudai kuwa hakukusudia kuifuta ile tweet yake.
Hivi ndivyo alivyoendea kutwee DJ Whtite Shadow the Grammy-winning producer:
“Oops didn’t mean to delete that. But I don’t recall what I said, basically it was “come on son” to Nicki. Cause you are wack.”
“Fuck what is wrong with the world.”
“You can be judgmental. My views are my own. I am by myself. I don’t hate. It’s not hate, just dislike for poor taste.”
“You forget I am a human being with MY own opinions.”
Miezi kadhaa iliyopita watu walianza kumrushia madongo Nicki Minaj na kusema anamkopi Lady Gaga, na inaonekana sasa Nicki Minaj hawezi tena kukwepa kirahisi kufanananishwa na Gaga.
Hivi karibuni the queen of hip hop anayekutana na vizingiti kibao alikutana na changamoto baada ya kutua airport halafu shabiki mmoja wa Lady Gaga akamrushia maneno na kumwambia aache kumkopi Lady Gaga. Inasemekana Nicki Minaj alimuwakia huyo shabiki wa Lady Gaga na kumuita ‘a B*tch’ kitu ambacho kimekosa ushahidi wa wazi.




Miezi michache iliyopita the Young Money First Lady asiyeishiwa maneno na flow aliamua kuzungumzia hii issue ya kufananishwa na Lady Gaga.
“Tuko katika njia mbili tofauti kabisa. Kwanza kabisa, mimi ni rapper. Natokea Southside Jamaica, Queens. Alisema Nicki katika interview moja, akamzungumzia Gaga, “Gaga ni msanii mzuri sana, unajua, ametengeneza njia yake. Amefungua njia yake mwenyewe. Lakini nadhani nina njia yangu mwenyewe, na hatujawahi kuingiliana. Ever! Kwa hiyo unajua, sipati huo mfanano kabisa. Muziki wetu haufanani. Muonekano wetu jukwaani haufanani. Sioni huu mfanano”.
Hawa wenzetu wako serious sio tu katika kukopi nyimbo ndo uandamwe lakini hata kama utacopy swag za msanii mwenzako bado ni tatizo kubwa sana.

No comments:

Post a Comment