Nick Minaj atoa list ya track 27 za album yake mpya yenye CD 2 ‘Pink Friday: Roman Reloaded-The RE-Up’


Cover ya album hiyo ya Nick Minaj

Zikiwa zimebaki wiki mbili kuachia rasmi album inayosubiriwa kwa hamu na fans wake, Nick Minaj ameachia rasmi list ya nyimbo 27 zitakazokuwa kwenye album yake yenye title ‘Pink Friday: Roman Reloaded-The RE Up’.  Album hiyo ambayo itakuwa na list ndefu ya nyimbo itakuwa ndani ya CD mbili ambapo CD ya kwanza itabeba nyimbo 8 na CD ya pili itabeba nyimbo 19.
Wakali waliopewa shavu kwenye album hiyo ni pamoja na boss wake Lil Wayne, wengine ni Ciara, Parker, Tyga, Thomas Brinx, Cassie, ambao watasikika kwenye CD ya kwanza.
Na katika CD ya pili atasikika Rick Ross, 2 Chainz, Nas, Drake, Young Jeezy, Chris Brown, Bobby Valentino na Beenie Man.
Nick Minaj anatarajiwa kuonekana kwenye reality show yake itakayoanza kuruka kwenye TV November 4 ikiwa ni utangulizi wa album yake.
Hizi ndizo nyimbo zitakazokuwemo kwenye album hiyo:
Disc 1:

1.            "Up in Flames"
2.            "Freedom"
3.            "Hell Yeah" (feat. Parker)
4.            "High School" (feat. Lil Wayne)
5.            "I'm Legit" (feat. Ciara)
6.            "I Endorse These Strippers" (feat. Tyga & Thomas Brinx)
7.            "The Boys" (feat. Cassie)
8.            "Va Va Voom"

Disc 2:

1.            "Roman Holiday"
2.            "Come On a Cone"
3.            "I Am Your Leader" (feat. Cam'ron & Rick Ross)
4.            "Beez in the Trap" (feat. 2 Chainz)
5.            "HOV Lane"
6.            "Roman Reloaded" (feat. Lil Wayne)
7.            "Champion" (feat. Nas, Drake & Young Jeezy)
8.            "Right By My Side" (feat. Chris Brown)
9.            "Sex in the Lounge" (feat. Lil Wayne & Bobby V)
10.         "Starships"
11.         "Pound the Alarm"
12.         "Whip It"
13.         "Automatic"
14.         "Beautiful Sinner"
15.         "Marilyn Monroe"
16.         "Young Forever"
17.         "Fire Burns"
18.         "Gun Shot" (feat. Beenie Man)
19.         "Stupid

No comments:

Post a Comment