Kumbe Nchakalih alikuwa anadate na Marya wa Ogopa! Marya ampigia magoti kwenye Twitter kumuomba warudiane...


Marya

Hivi karibuni mrembo na msanii wa kike wa nchini Kenya, Marya amelazimika kutumia mtandao wa Twitter kumbebembeleza mtangazaji wa zamani wa Clouds FM, Reuben Ndege aka Nchakalih warudiane baada ya kuachana.
Hata hivyo pamoja na Marya kuandika tweets nyingi kwa Reuben, jamaa alikaa kimya bila kujibu lolote hali inayoashiria kuwa mrembo huyo alimfanyia kitu kibaya.
Hizi ndizo tweets za Marya kwa Nchakalih ambazo zimefanya habari hiyo iwe kubwa kwenye mitandao ya nchini Kenya.
@IamNchaKALIH,hey i knw i went wrong in this r/ship.the 8mnths we spent together werr the best i want u back and yes I LOVE YOU,it gonna see
@IamNchaKALIH the real me and not the woman u fell out off st first i was kinda scared
@IamNchaKALIH to showu the real mebut Noè in NOT,im not askingu to jump back into this im asking a chancè to find a away back imnto ma heart
@IamNchaKALIH i know i wronged you and im sorry.
@IamNchaKALIH  give me another chancè to make things right i love you and only you you know deep down u do.
@IamNchaKALIH can I get an answer
@IamNchaKALIH are u getting ma dms

No comments:

Post a Comment