Wizi huo umefanyika usiku wa
kuamkia jana na inavyoekena ni kuwa wezi walipanda na kuvuka geti
kimya kimya, kwa raha zao wakanyofoa taa na kuingia ndani kuchukua
radio.
Ile
MwanaFA kuamka asubuhi ndo akakuta tayari wajanja wameshamliza kiasi
cha kuamua kutangaza vita na wezi. Hivyo kama ukikuta MwanaFA
anashiriki kumponda ‘vitofa’ mwizi aliyekamatwa street baada ya kuiba,
kamwe usishangae, usimuulize na usimzuie sababu ataanza na wewe! Pole
sana Binamu!
Hata
hivyo wezi hao hawaikuiharibu ratiba ya usiku wa kuamkia leo ya
Binamu. Ratiba yake ilianzia pale the so-called ‘Uwanja wa taifa wa
burudani’ Dar Live ambapo aliperform ngoma yake mpya Ameen kwa mara ya
kwanza.
Baada ya Dar Live show ikahamia Maisha Club, “Dar Live Done..Beautiful..Maishani Sasa Kwa Ndege Mnana,” alitweet.
Huko
New Maisha Club alienda kumpa support mwanadada Linah Sanga aliyekuwa
akifanya show yake ya kwanza tangu arudi kutoka kwenye ziara ndefu ya
nchini Marekani. “What a show..Maisha I Loooooooooved you tonite!”
aliandika alfajiri hii.
HIZI NI BAADHI YA PICHA LA TUKIO HILO
No comments:
Post a Comment