Bingwa mara tano katika mashindano ya tennis ya
Wimbledon, Mmarekani Venus Williams, amesema hana nia ya kustaafu, baada
ya kuondolewa katika siku ya kwanza ya mashindano ya mwaka 2012 ya
Wimbledon, katika raundi ya kwanza, aliposhindwa na mchezaji kutoka
Urusi, Elena Vesnina.
Venus, mwenye umri wa miaka 32, na anayeugua ugonjwa unaofahamika kama Sjogren's Syndrome, alishindwa 6-1 6-3 siku ya Jumatatu.
No comments:
Post a Comment