......................................................................................................
..........................................................................................................
Jarida la Hispania lamuonesha Michelle Obama kama mtumwa
Jarida la Ufaransa la Fuera de Serie limeifanyia photo-shopping
picha ya sura ya first lady wa Marekani Michelle Obama na kumuonesha kwenye picha
ya karne ya 19 wakati wa utumwa.
Kava hilo limesababisha mjadala mkubwa iwapo picha hiyo ni
ya kisanii tu ama imemdhalilisha mke huyo wa rais Obama.
No comments:
Post a Comment