Familia ya TAFE inapenda kuchukua fursa hii kuwatakia Sikukuu njema ya Pasaka popote mulipo. Tukumbuke mateso ya Yesu na tujikabidhi mikononi mwake kwa toba huku tukijua nafasi zetu katika jamii na jinsi ya kuchukua hatua kupambana na Umaskini, Ujinga na maradhi.
Sisi Tanzania Farmers Empowerment, tunatarajia ushirikiano mzuri kati yenu na shirika katika kupambana na Njaa pamoja na Umaskini kama ilivyoelezwa pia katika Tamko la Milenia no.1 Kwa sasa TAFE inandaa mambo yafuatayo:
1. Sera za shirika
- Sera ya Jinsia
- Sera ya Ukimwi
- Sera ya Kilimo
- Sera ya Mazingira
- Sera ya Rushwa
Tunawatakia wote mapunziko mema ya sikukuu na Mungu awabariki.
Asanteni.
Rev. Linus John
Katibu-Tafe
0652769009/0783360201
No comments:
Post a Comment