BUSINESS & ADVERTISEMENT

 

China yaahidi kukuza uchumi zaidi



Rais Hu Jintao wa Uchina ameahidi kuendelea kukuza uchumi wa nchi yake, ili kusaidia kufufua uchumi wa dunia. Uchumi wa Uchina ni wa pili kwa ukubwa duniani.

Bwana Hu aliahidi kwenye mkutano wa viongozi wa nchi za Jumuia ya Asia-Pacific, unaofanyika mjini Vladivostok Urusi, kwamba Uchina itafuata sera za kupangilia na itajaribu kuzidisha soko la ndani ya nchi. Amesema pia kuwa mataifa yote ya eneo hilo nayo yana jukumu la kuendeleza amani na utulivu.
"Mabibi na Mabwana, uchumi wa dunia uko katika hali tete, na kazi muhimu sasa, ni kufumbua matatizo na kufanikiwa kuchangamsha uchumi ili uendelee kukua.
Kuendeleza shime na utulivu pamoja na kukuza uchumi katika eneo la Pacific ni kwa maslahi ya nchi zote za kanda hii, na pia ni jukumu letu sote." Alisema.
Naye Waziri Mkuu wa Australia, Julia Gillard, ilibidi aondoke kwenye mkutano huo kurejea nyumbani, kwa sababu amefiwa na baba yake, John Gillard, aliyekuwa na umri wa miaka 93.

 

 ................................................................................................................................

Tanzania yakamata nafasi ya 21 Afrika kwa ushindani wa kiuchumi, 120 duniani kati ya nchi 144



Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) juzi lilitoa ripoti ya yake ya Global Competitiveness 2012-2013, ambayo iliyalinganisha mataifa katika hali ya ushindani kiuchumi.

Katika nchini 144 zilizolinganishwa, 38 ni za Afrika lakini ni Afrika Kusini, Mauritius, Rwanda na Morocco tu ndizo zilizoshika nafasi katika nusu ya kwanza ya orodha hiyo.

WEF inalitafsiri neno ‘competitiveness’ kama “mkusanyiko wa asasi, sera, na mambo yanayopima uzalishaji katika nchi.

Kiwango cha uzalishaji huonesha kiwango cha utajiri unaoweza kupatikana kwenye nchi.

Kiwango cha uzalishaji pia huainisha kiasi cha marejesho yanayopatikana kutoka kwenye kitega uchumi katika nchi.

Kutambua rank hizi, nchi ziliangaliwa katika nguzo 12 ambazo ni asasi zilizopo, miundo mbinu, mazingira ya biashara ndogo, afya na elimu ya msingi, elimu ya juu na mafunzo, ubora wa soko la bidhaa, ubora wa soko la ajira, maendeleo ya soko la kifedha, utayari wa kitechnolojia, size ya soko,  ubora wa biashara na uvumbuzi.

Orodha ya nchi za Afrika kwenye ripoti hiyo

Nchi
Nafasi barani Afrika
Nafasi Duniani 2012 – 2013 (kati ya nchi 144 duniani)
Afrika Kusini
1
52
Mauritius
2
54
Rwanda
3
63
Morocco
4
70
Seychelles
5
76
Botswana
6
79
Namibia
7
92
Gambia
8
98
Gabon
9
99
Zambia
10
102
Ghana
11
103
Kenya
12
106
Misri
13
117
Algeria
14
110
Liberia
15
111
Cameron
16
112
Libya
17
113
Nigeria
18
115
Senegal
19
117
Benin
20
119
Tanzania
21
120
Ethiopia
22
121
Cape Verde
23
122
Uganda
24
123
Mali
25
128
Malawi
26
129
Madagascar
27
130
Ivory Coast
28
131
Zimbabwe
29
132
Burkina Faso
30
133
Mauritania
31
134
Swaziland
32
135
Lesotho
33
137
Msumbuji
34
138
Chad
35
139
Guinea
36
141
Sierra Leone
37
143
Burundi
38
144

 

............................................................................

RootsYR yasherekea mafanikio ya miaka 6 nchini Tanzania

CEO wa kampuni ya RootsYR Ulric Chateris akiwahutubia wageni waalikwa katika hafla ya siku ya kuzaliwa kampuni hiyo yenye kufanya shughuli za media na matangazo iliyotimiza miaka 6 hivi karibuni.
CEO wa RootsYR Ulric Chateris (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Masoko TBL Kushilla Thomas katika sherehe ya miaka 6 ya siku ya kuzaliwa RootsY.
 Baadhi ya wafanyakazi na wadau wengine wa RootsYR katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa RootsYR Denise Rosiello (katikati) akiwa na designer maarufu Ally Rehmtulla na mdau kutoka TBL Bw. Arthur.

 Kiota kipya cha Kili Bar nayo ilizinduliwa rasmi na kampuni hiyo ya RootsYR katika usiku wa shehere hizo.
 Taswira ya Kili Bar iliyopo Masaki - Dsm. Kili Premium Lager ndio walikuwa wateja wa kwanza wa RootsYR mwaka 2006, wanaendelea kuwa wateja wakuu hadi hii leo.
Wadau wengine muhimu wa RootsYR nao walikuwepo bila kukosa.

 

 ............................................................................

Vodacom: Precision Air na Vodacom zaingia katika ushirikiano wa kutoa huduma


Kampuni ya usafiri wa anga ya Precision air imeingia kwenye mkataba na Vodacom Tanzania ambapo wateja wataweza kulipia tiketi za usafiri kupitia huduma ya M-Pesa.

Ili kufanya malipo mteja atatakiwa kupiga namba *150*00# na kuchagua malipo ya bili kupitia orodha ya M-pesa na kuingiza namba ya biashara ya Precision Air ambayo ni 333777  ikifuatiwa na namba ya malipo na kiasi cha fedha itakayolipwa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ushirikiano huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara cha kampuni ya Precision Air, Patrick Ndekana (kushoto), amesema kuwa njia hiyo ni ya haraka, rahisi na itaokoa muda kwa wateja.

“Tunafurahi kuingia katika ushirikiano huu na Vodacom Tanzania, Tunawahimiza wateja wetu kutumia huduma hii ili kuokoa muda na kufanya malipo yao katika njia ambayo ni rahisi na ya haraka,” alisema Ndekana.
Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Kifedha cha Vodacom Tanzania, Innocent Ephraim (kulia), alibainisha kuwa ushirikiano huo utatoa njia badala katika malipo ya tiketi, na kusisitiza kuwa huduma ya M- pesa ni salama, haraka na niya uhakika, kwa kuwa imeleta mapinduzi katika huduma mbalimbali za kifedha tangu kuanzishwa kwake miaka mimne iliyopita.

“Tunaamini kuwa tutatoa huduma bora kwa wateja wetu. Tunajivunia ushirikiano huu na tunatarajia utakuwa na mafanikio makubwa katika kukidhi mahitaji ya huduma kwa wateja wetu,” alisema Ephraim.
Baadhi ya wafanyakazi wa precision Air wakifuatilia mkutano huo
Huduma ya M-Pesa ya Vodacom Tanzania ina mawakala zaidi ya elfu 20,000 nchini kote, na ni pekee ambayo inaongoza, kwa usalama na ubora katika kukidhi mahitaji ya huduma za kifedha kwa Watatanzania walio wengi.

Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo
Kampuni ya Precision Air inatoa huduma zake katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, na kufika katika maeneo mengi ya nchi kwa siku.

Sasa kampuni hiyo ina ndege tano zenye uwezo wa kubeba abiria sabini aina ya ATR 72-500, na ATR 42 yenye uwezo wa kubeba abiria arobaini na nane na ndege nyingine tatu aina ya Boeng 737. Na sasa iko katika mpango wa kuongeza ndege nyingine aina ya E- jets na ATR.

 

 ..............................................................................

Samsung yawalipa Apple $ Bilioni 1, kwa kupeleka malori 30 yenye sarafu za senti 5



Malori 30 yaliyokuwa yamejaa sarafu (ama kunogesha zaidi chenchi) za senti tano tano, yaliwasili kwenye makao makuu ya Apple, jimboni California, Marekani.

Awali, walinzi wanaolinda makao hayo makuu walidhani malori hayo yamepotea njia, lakini dakika chache baadaye, Tim Cook (CEO wa Apple) alipokea simu kutoka kwa CEO wa Samsung Lee Kun-hee, akimueleza kuwa wamewalipa faini yao ya dola bilioni 1, kutokana hukumu dhidi ya kampuni hiyo ya Kikorea.
Tim Cook
Kitu cha kuchekesha zaidi ni kuwa nyaraka iliyosainiwa haioneshi njia moja ya kulipa faini hiyo, hivyo Samsung ilikuwa na haki ya kuwapelekea faini hiyo watengenezaji hao wa simu za iPhone vyovyote wanavyotaka.

Lee Kun-hee
Mchezo huu mchafu na wa kijanja utawaumiza kichwa wakurugenzi wa Apple kwakuwa itabidi iwachukue muda mrefu kuhesabu fedha zote ili kuhakikisha kama zimetimia na kujaribu kuzipeleka benki ambako hawajui kama zitakubalika.

Mwenyekiti wa Samsung Electronics Lee Kun-hee, amewaambia waandishi wa habari kuwa kama Apple wanataka kucheza mchezo mchafu na wao pia wanaujua. Undava undava na kama nona iwe noma tu!

 

 

.................................................................................

IPhone struggles to gain ground in China


Chinese consumers line up to buy the iPhone 4S in a China Unicom store in Beijing.
NEW YORK (CNNMoney) -- Apple may be ecstatic about the landmark $1 billion patent war it won against Samsung, but a recent report shows that Apple is a lightweight contender in a much more crucial battleground.

Apple's share of the Chinese smartphone market was just a measly 7.5% during the first half of 2012, according to IHS iSuppli. That put the company in seventh place, behind Samsung (No. 1), Nokia (NOK) (No. 5) and a host of native brands, including Lenovo, Coolpad, Huawei and ZTE.
That's not a position Apple (AAPL, Fortune 500) is accustomed to -- in nearly every other region of the world where it sells iPhones, Apple is in either first or second place.
Seventh certainly not where the company wants to be in the critical Chinese market. China is set to become the largest smartphone market in the world later this year, after more than doubling the number of devices sold in 2011, IHS iSuppli says.
If Apple wants to grab a larger slice of that rapidly growing pie, it may have to make some concessions to Chinese consumers.

 

 ............................................................................

In numbers: The world's shipping industry

August 23, 2012 -- Updated 0936 GMT (1736 HKT)

 

 

 ................................................................................

Beyond Concorde: The next generation of supersonic flight

A rendering of the Aerion SBJ, a proposed eight to 12-passenger business jet whose backers predict it will enter service by 2020.

 For more than three decades, Concorde represented the pinnacle of business travel -- the ultimate status symbol for the jetset executive.

Considered a marvel of aviation technology, the distinctive droop-nosed aircraft traveled at twice the speed of sound, flying from London to New York in about three and a half hours -- half the time of commercial airliners.
But even before an Air France Concorde crashed in 2000, killing all 100 passengers and nine crew members on board, the luster was beginning to wane.
Battling high operating costs and low passenger numbers, Air France and British Airways grounded their small, aging fleet a mere three years later.
But the dream of supersonic flight has not disappeared. Aviation manufacturers such as Boeing, Lockheed Martin and Aerion are working on supersonic technology -- with the latter predicting it could have a supersonic business jet in service as early as 2020.

 
Traveling at 'hypersonic' speeds
Industry expert Joe Lissenden, the director of aerospace and defense consulting in the Americas for IHS Jane's, says it's likely that a next-generation supersonic commercial aircraft will emerge.
High demand from passengers, historic profitability on the routes and significant technological improvements have combined to make supersonic flight all the more viable, he said.

 

 ...............................................................................

Apple becomes most valuable firm of all time – but Facebook shares hit new low

Tech firm valued at more than $619bn after shares hit high of $664.75 in morning trading, topping Microsoft's 1999 record

Apple conference in San Francisco
Apple shares have risen on rumours that it is planning to launch a smaller version of the iPad. Photograph: Justin Sullivan/Getty Images
Apple has become the most valuable company of all time – surpassing a record set by Mircrosoft in 1999.
Shares in the tech giant hit a high of $664.75 in Monday morning trading, valuing the company at over $619bn. The price topped the $618.9bn Microsoft achieved in December 1999.
In January, Apple surpassed oil firm Exxon Mobil for the first time to become the most valuable company on the planet. It now dwarfs Exxon's $405.6bn market value by more than $213bn.

The company's shares dropped dramatically last month as sales figures disappointed analysts, even as profits rose 21% year-on-year to $8.8bn (£5.6bn). But shares have risen again on rumours that Apple is planning to launch a smaller version of its top-selling iPad and is close to making a new push in the TV market, which has long been a target for chief executive Tim Cook.
The company's share price was $378.55 on October 5 2011, the day that Steve Jobs, co-founder and the driving force behind the firm's most famous products, died. Since his death, Apple has gone on to report record sales, and its share price has soared.

Apple's landmark high comes as Facebook's shares hit new lows on Monday, sinking to less than half their initial public offering price and halving the fortune of founder Mark Zuckerberg.
By mid-morning, Facebook's shares hit a new low of $18.75, less than half the $38 they were sold for in May amid the most heavily hyped stock sale in recent history. The slump has knocked close to $10bn off the value of Zuckerberg's stake in the firm, which is now worth about $9.5bn.

Facebook's latest share slide comes after the expiration of a lock-up period that allows some of its earliest investors to sell more of their shares. The expiration increased the pool of available shares by 60% and confirmed analysts' fears that it might lead to more falls in Facebook's already battered share price.
Some of Silicon Valley's most prominent investors are among those now able to reduce their holdings. Details of which large shareholders have decided to cash in are not yet available.
Facebook's share price faces a series of other potential challenges in the next few months as more lock-up periods expire and staff are allowed to sell shares.

Facebook's fall comes as its peers, too, have faced investor scepticism. Shares in Groupon, the daily deals site, are also close to new lows and early investors including Marc Andreessen, one of Silicon Valley's most respected investors, have been cutting their holdings.
Shares in Zynga, the online games firm, have fallen over 68% since last year's initial public offering. The firm, whose hits include Words With Friends and Draw Something, was responsible for 12% of Facebook's revenue last year.

On the day of its IPO in May Facebook was briefly valued at more than $100bn, more than the combined worth of Nike and Goldman Sachs. The social network is now valued at $40.61bn.
The company is on course to claim a billion people as users this year. But while its size and reach are undisputed analysts fear that the firm has been unable to find a way to make money from its mobile users, the fastest growing sector of its business.

No comments:

Post a Comment