Wabunge karibu 10 nchini Zimbabwe wametahiriwa kama
moja wapo ya hatua zao ya kukabiliana na kusambaa kwa virisi vya Ukimwi
nchini humo
Blessing Chebundo, ambaye ni mwenyekiti wa wabunge wanaopambana na Ukimwi amesema nia yake hasa ya yeye kuamua kupashwa tohara ni kuchochea wanaume nchini Zimbabwe kutairiwa.
Bwana Chebundo anasema kuna wabunge zaidi ya 120 na wafanyikazi wa bungeni ambao wameonyrsha nia yao ya kutairiwa.
No comments:
Post a Comment