MCHANGO WA MATIBABU YA DR.ULIMBOKA
dola
40,000$ zatakiwa kuchangwa kufanikisha kipimo fulani nje ya nchi
kutokana na kipimo hicho kutokwepo nchini ili dr ulimboka apelekwe nje
ya nchi kwa maswahiba yaliyomkuta,,,madaktari kote nchini wahamasishwa
kuchangia,,,katibu wa chama anena,,,wakati uwo uwo jeshi la polisi
laadhimia kuwashtaki madaktari wote waliogoma kwa kukiuka agizo la
mahakama,
No comments:
Post a Comment