Mkanda mwingine wa ‘Porn’ wa Kanye West umenaswa, Kim K. Kimyaa!! Una dakika nyingi zaidi ya ule wa kwanza, sasa aitwa ‘A Sex Tape Master’.



Najua umeshasikia mengi sana kuhusu wasanii wakubwa na utengenezaji wa mikanda ya porn maarufu kama ‘X’, na scandal hiyo hiyo imemhusu sana Boss wa G.O.O.D Music Kanye West katika siku za hivi karibuni ilipowekwa wazi movie ya porn iliyomuonesha akiwa na mwanamke anaefanana na Kim K ambae alikuwa his dream girl na sasa yuko nae.
Sasa ambacho ulikuwa hujakisikia ni kwamba mkanda mwingine wa porn wa mkali huyo umeonekana na unauzwa kwa kasi japo una muda mchache tangu uvuje.
Kwa mujibu wa TMZ mkanda huu wa pili ni mrefu zaidi ya ule wa kwanza kwa sababu huu una dakika zaidi ya 40 ukilinganishwa na ule wa kwanza wenye dakika 20 ambao alicheza na mwanamke aliyedai kuwa na umri zaidi ya miaka 18 na akamwambia Kanye kuwa “ my husband and I don’t have sex anymore…that’s why I’m here”.

Katika hali isiyo ya kawaida Kim Kadarshian hii haimpi presha kiivo kitu kilichopelekea wachambuzi wa scandal kutoa report kuwa sababu kubwa ya kutojali kiivo ni kwa sababu wanatengeneza millions of dollars kupitia hizi sex tapes, na wengine kusema kuwa labda hizi tapes zitakuwa zilirekodiwa zamani wakati Kanye na Kim K bado hawana uhusiano.
Hata hivyo hata Kim K pia alishafanya movie ya porn akiwa na ex boyfriend wake, na Kanye West aliisifia hata kwenye verse zake, na ililiripotiwa kuwa Kanye alivutiwa sana na hiyo sex tape ya Kim K hadi akawa anaiwatch wakati anafanya mapenzi na wanawake wengine.
Nadhani mkwanja mrefu unaopatikana kwenye movie za porn ndio sababu inayofanya hata rappers wengine kama Tyga kujiunga kwenye huu ulimwengu wa kushot video za porn kwa kasi zaidi, na kama report za hivi karibuni zilivyosema hata rapper mkongwe Mystical naye ametangaza kuwa muziki ukimshinda basi Movie za ngono ndiyo ‘plan B’ yake.
Kwa upande mwingine mwanasheria wa Kanye West Lisa M. Bukley kupitia legal document aliyoituma kwenye mtandao wa allhihop.com alionya vyombo vya habari mbalimbali kuitumia sex tape ya Kanye West kibiashara katika kutangaza matangazo ya vitu mbalimbali, na kuionesha kwenye public kuwa kunaweza kuwa na serious legal percussion kwa sababu hizo sex tape ziliibwa kwenye computer ya Kanye West na kuionesha makusudi ni kuvunja haki ya mteja wake ‘rights of privacy and publicity’.

No comments:

Post a Comment