Baada ya Goldie kuingia Kenya kimya kimya, hatimaye Camera imewa-spot live akiwa na Prezzo.


Prezzo na Goldie katika Channel O news Launch Kenya

Maswali yameendelea kuwa mengi juu ya lovebirds wawili wa Big brother iliyopita Goldie na Prezzo kutokana na vyombo vya habari kutopata nafasi kubwa ya kujua mipango yao ya sasa mara baada ya mashindano kuisha.

Siku chache toka Goldie aingie Kenya Camera ziliweza kuwaspot live Goldie na Prezzo wakiwa pamoja katika event ya Channel O news lauch iliyofanyika Kenya siku chache zilizopita.

Hii ndio ilikuwa picha yao ya kwanza kusambaa mtandaoni kabla ya ile waliyoonekana vizuri
Picha ya kwanza iliyopatikana mtandaoni iliwaonyesha Goldie na Prezzo kwa nyuma na kufanya kutokuwa na uhakika sana kama ni wao, lakini baade imekuja kupatikana picha ya live bila chenga ikiwaonyesha vizuri zaidi wakiwa wana have fun katika event hiyo (picha ya kwanza juu).

No comments:

Post a Comment