AY kuwa balozi wa Airtel Tanzania

  


Wiki hii kwa Ambwene Yesaya imekuwa ya mafanikio makubwa kuanzia kutajwa kwenye vipengele vitatu vya tuzo za video za Channel O hadi kuteuliwa kuwa balozi wa Airtel Tanzania.

No comments:

Post a Comment