Fid Q atangaza ajira kwa wajasiriamali wanafunzi vyuoni



Je! Wewe ni mwanafunzi wa chuo? Unahitaji mshiko wa ziada tofauti na boom ama mpaka utumiwe na mdingi? Then Tangazo hili chini si la kupuuzia:

TANGAZO KWA WAJASIRIA HIPHOP: Cheusidawa inatafuta wanafunzi wa vyuoni ambao wako tayari kufanya part time work ili kujipatia kipato cha ziada.. esp..wauzaji wa merchandises,cds, books and tix... tuandikie email yenye title hii:: MJASIRIA HIPHOP kwenda humu--> cheusidawatv@gmail.com.

No comments:

Post a Comment