MUSIC:UTATA KUHUSU FID Q vs JOH MAKIN KUWA NA BEEF WATATULIWA CHEKI HII PICHA.


Ubishi mtaani kuwa nani ni mkali kwenye Hip Hop ni mkubwa na hata Jukwaani upinzani wao ni mkubwa lakini tofauti na wasanii wa nchi nyingine, FidQ na Joh Makini wanapiga stori hata na kusafiri pamoja kama wanavyoonekana pichani.

Source 

No comments:

Post a Comment