FROM MR VIBE MBEYA ON FACEBOOK

  • Mratibu wa Show ya FIESTA 2012, Sebastian Maganga akitangaza washindi wa FIESTA Super Nyota 2012 ndani ya The Vibe..... akiwemo kinara Ney Lee wa The V-Band ndani ya The vibe jana...
    Pia usisahau Leo baada ya Fiesta Soccer Bonanza pale T.I.A shuhguli zote za kupongezana na Kucheki Finali za EURO 2012 zitafanyika pale The Vibe pekee, na kila mlango utafunguliwa, na baada ya hapo ni Kwanja la Maana chini ya Vibe Djs...!!!
    · ·  
  • Mashuhuda wa Show ya FIESTA Super Nyota 2012 iliyompa Ushindi Ney Lee wa The V-Band ndani ya The vibe...
    Pia usisahau Leo baada ya Fiesta Soccer Bonanza pale T.I.A shuhguli zote za kupongezana na Kucheki Finali za EURO 2012 zitafanyika pale The Vibe pekee, na kila mlango utafunguliwa, na baada ya hapo ni Kwanja la Maana chini ya Vibe Djs...!!!
    · · ·
  • Anaitwa Ney Lee Moja ya Kichwa kinachozidi Kufanya Vizuri Nchini.... Anatokea The V-Band pale The vibe, baada ya kufanya vyema kwenye Kilimanjaro Winners Tour na kuiwakilisha vyema Mbeya, sasa amepita tena kuiwakilisha Mbeya kwenye show ya FIESTA 2012 baada ya kushinda jana kwenye Fiesta Super Nyota ndani ya The vibe...
    Pia usisahau Leo baada ya Fiesta Soccer Bonanza pale T.I.A shuhguli zote za kupongezana na Kucheki Finali za EURO 2012 zitafanyika pale The Vibe pekee.!!! 

No comments:

Post a Comment