FOOTBALL:Mtanzania asajiliwa Chelsea


Adam Nditi ambae ni mzaliwa wa Zanzibar, Tanzania, amesaini rasmi mkataba na chelsea FC kama mchezaji wa kulipwa.
Nditi alikuwemo katika kikosi cha Chelsea kilichochukua kombe la FA mwaka 2011-12 kwa vijana. Alijiunga na Chelsea Academy mwaka 2008. Alicheza kwa mara ya kwanza msimu wa 2010-11 dhidi ya Tottenham Hotspur.
Adam Nditi alizaliwa mwaka 1994, septemba 18 huko Zanzibar.

No comments:

Post a Comment