| On Stage sasa |
| Huu ndio baadhi ya umati ulioudhuria katika show yangu ya Ziff Festival Zanzibar |
| Mi hapa sitii neno....Lol! |
| Wanasema music ni moja ya kazi amabayo licha ya kua uko kazini ila inakupa burudani pia wakati uifanyapo kazi hio |
| Wanasema gym ni moja ya kitu muhim sana kwa mwanamuziki, hufanya hata ukiwa stage ukivua shati upendeze na kuvutia mbele za watu... do you think it's true? |
| Ma baby say's Mgongo wangu ni moja ya kitu kinachomfanya Anipende sanaaaaaaaaa...... |
| Niwashkuru jeshi zima la Polisi la Zanzibar na security wote walokua wakihakikisha usalama juu yangu na team yangu nzima ya Wasafi |
| Dha! maskini hawakutaka hata niingie kwenye gari walipenda hata nibaki japo tuongee mawili matatu lakini ndio hivyo tena management haikuniruhusu....shaaaaaaaaaaaa...! nikasepa |
No comments:
Post a Comment