SPORTS:PICHA MBALIMBALI MAPOKEZI YA KOCHA WA YANGA JANA.


Photo: kocha yanga...
ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA JK NYERERE AKIWA NA BAADHI YA VIONGOZI MASHABIKI NA WANACHAMA WA YANGA MARA BAADA YA KUWASILI

Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet amewasili mida hii Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wapenzi wa klabu hiyo. Tazama mapokezi yake tangu anatokea ndani ya Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani.










 
PICHA NA BIN ZUBERY

No comments:

Post a Comment