The R&B star amefunguka vizuri zaidi kuhusu uhusiano wake na ex girlfriend wake Rihanna baada ya kuonekana pamoja mara kwa mara bila kutoa tamko rasmi linalozungumzia uhusiano wa wawili hao ukiacha mbali ile video aliyoiachia baada ya kuachana na Karrueche Tran na kukiri kuwa bado anawapenda wote.
The ‘don’t work me up’ hit maker amesema katika interview,
“ni mimi kuwa mkweli na nafsi yangu. Mimi na Rihanna tuna historia, na mimi na
yeye tutaendelea kuwa best friends, na tunafanyia kazi mahusiano yetu sasa.”
Mkali huyo anajua kabisa kuwa watu wanasema mengi kuhusu mahusiano yao ambayo hayaeleweki
vizuri mbele za watu, ni marafiki wa aina gani ama ni wapenzi wa aina gani
hawa.
Kuhusu hilo akafunguka, “nadhani kila mtu anaguswa na hii
situation ya zamani, bado ni hali ya hatari, kwa sababu ni yale tunayo-deal
nayo leo na ndio maana nafanya Jenesse Center ambayo inaonesha kuwa domestic
Violence sio sawa. Lakini kuhusu maisha yetu, nadhani watu wanatakiwa kuyapa
nafasi, sio tu kuyapa nafasi, shut the hell up! Mwisho wa siku, maoni yoyote
yale hayawezi kubadili chochote ninachofanya.”
Ingawa anafeeling kwa Rihanna, Breezy amesema haoni dalili
za ndoa katika maisha yao ya hivi karibuni,na kwa nini aliamua kuachia video
ambayo aliongelea kuhusu kuwapenda wanawake wawili.
“Ninapojisikia hali flani, iwe ni ya muziki ama emotion,
najisikia ni vizuri kushare na watu, kwa sababu ni experience na fundisho
katika maisha.”
No comments:
Post a Comment