Sean Paul |
Baada ya kutoka wimbo wa ‘Baby boy’ ambao
sauti ya mkali wa miondoko ya dancehall ilisikika na ikimpa company the R&B
queen Beyonce mwaka 2003, ilikuwa ni moja kati ya the best collaboration
zilizohit radio waves kipindi hicho, na hivo kuwafanya watu waisubiri kwa hamu
video ya wimbo huu ili wayaone makeke ya Beyonce na alivyocheza na Jamaican boy
Sean Paul.
Surprisingly, katika video ya track hiyo
iliyofanywa chini ya director Jake Nava, Sean Paul na pop queen Beyonce
walionekana separately, na rumors zikazagaa mda mfupi tu kuwa Jay- Z alitoa
masharti kwa Beyonce na Sean Paul wasishoot pamoja.
Sean Paul alipoulizwa kuhusu hii rumor katika interview aliyofanya na “Rap Fix Live” SP alisema:
"The whole
direction of the video was sold to me as, 'You're in a dream world,' "
Hata hivo pamoja na kutokuwa na uamuzi kwa chochote alichokuwa anaelekezwa
kwake haikuwa big deal, “It was not a big deal to me, but it really blew up
into crazy stuff.” Alisema Sean Paul. Wakati Sean Paul hakupanda stage kumpa
support Beyonce kuiimba “Baby Boy” katika tuzo za video za MTV za mwaka 2003,
yaani 2003 MTV VMA, wimbo walioimba kwa kudakizana, zilitapakaa story kuwa Baba
Blue Ivy, Jay-Z alimkataza Jamaica-born dancehall star kupanda jukwaa moja na
Baby girl wake Beyonce Knowlance.
Lakini Sean Paul amekanusha hizo rumors
katika interview hiyo, na alisema yeye amemfahamu Jay- Z hata kabla hajamfahamu
Beyonce, “that’s a rumor that started , I’ have known Jay-Z from before I knew
her” alisema SP.
Akikumbushia siku alipokuwa katika office za zamani za HOV’ Roc
–A-Fella akipata lesson on on radio politics from the iconic MC. Sean Paul
alisema watu tu ndo waliyakuza mambo, na yeye aliamua kuwa kimya kwa miaka yote
hiyo kwa sababu anaamini it was doing its work. Na kwamba kulikuwa na
mkanganyiko mwingi sana.
Alimaliza kwa kuizungumzia ‘baby boy’ enzi za miaka
hiyo 2003 na R&B queen Beyonce
“she’s an amazing artist, the song was at number 1 for like nine weeks, so that
was a very special time for me and for dancehall” alimaliza hivo mkali wa
dancehall toka Jamaica
No comments:
Post a Comment