Member wa zamani wa G-Unit The Game,
anamuonekano mpya sasa baada ya kuweka wazi kuwa alibatizwa last summer
kitu ambacho kimemfanya awe serious
zaidi katika dini.
Game anaonekana kumkumbuka sana
Mungu sasa hivi na anajitahidi sana
kuishi maisha flani tofauti kidogo na ile thug life ama yale maisha ya u-gang
star. lakini pamoja na jitihada hizo the West Coast rapper amekiri kabisa kuwa
bado anamtihani coz bado anapenda zile bata kama
enzi zile kabla ya kubatizwa na bado anazigusa gusa.
”I still love the strip
club and I still smoke and drink” aliweka wazi huyu kiongozi wa kundi la Black
Wall Street katika interview aliyopiga na Jenny Boom Boom TV.
Hongera
Game kwa kuwa muwazi.
Lakini pia Game ameelezea kuhusu title la
album yake mpya “JESUS PIECE” ambayo yeye mwenyewe aliitabiria kuwa itakuwa the
best album kwa mwaka huu, kwa tweet yake mwanzoni mwa mwezi huu iliyosomeka
“Jesus Piece will be the best album to come out this year!!”.
Kabla ya kuipa title la “Jesus Piece” Game
alikuwa ameamua kuiita album yake F.I.V.E (Fear Is Victories’ Evolution), na
sababu ya kwanza ni kukwepa kujirudia kwa neno “Five” kwa sababu Trey song
ametoka na Chapter Five na 5O
cent Murder
s by Five.
Game alimwelezea DJ skee jinsi alivyopata
hii title ‘Jesus Peace” kuwa kwanza
walifanya ngoma na Kanye West inayoitwa Jesus Piece, halafu siku moja walikuwa
studio na Dre, Dre akasema ‘We should
call this album Jesus Piece, You know how much controversy that will be?’’ ndo
wazo lilipoanzia. Na baada ya kuamua kubadili title alianza kufanya tracks
zinazoendana na jina la title hii mpya na sio F.I.V.E tena.
“Nadhani
watu wataapreciate hii concept wakisikiliza huu muziki, na Jesus Piece inanipa
nafasi ya kuongea kuhusu situation ambayo watu kama
mimi ambao wanampenda Mungu lakini bado wanataka kubaki walivyo kimtaa without
going the pastor Mase route. Inanipa
nafasi ya kujua kuwa it’s somebody out there who feels them” alimaliza hivo
Game.
No comments:
Post a Comment