Chofaco Records ya Marekani iliyotengeneza beat ya Danger ya
Fid Q, imeamua kuzungumza na kuwajibu Orijino Komedi waliomshutumu Fid kuwa
amecopy na kupaste beat hiyo.
“CHOFACO RECORDS OWNS FULL COPYRIGHT OF THE SONG DANGER BY
FIDQ, PRODUCER BY CHOBARAY.
NYIMBO ILIREKODIWA NOVEMBER,2008,JIULIZEE NYIMBO ILITOKA
MWAKA GANI?MZIKI WA USA SIO SAWA NA MZIKI WA BONGO,KUNATOFAUTI KATI YA MIXTAPE
SONGS AND ALBUM SONGS ALSO LEASED TRACKS,NON EXCLUSIVE TRACKS AND EXCLUSIVE
TRACKS,KABLA ORIJINO KOMEDI.KUKURUPUKA NA KUONGEA/KUFANYA VIPINDI VYAO LAZIMA
MJUE COPYRIGHTS ZA KAZI ZA WATU,HESHIMA NA BUSARA,KUULIZA NA KUELIMISHWA SI
UJINGA.”
No comments:
Post a Comment