swagg za Mrisho Ngassa kushangilia.
Mwandishi wa habari za michezo Geofrey Lea ambae alikua uwanjani kutazama mechi amesema mchezo ulikua mzuri na Azam Fc walianza kucheza kwa kasi hivyo kupata goli la kwanza kwenye dakika ya tatu ambapo kipindi cha pili Simba ndio walishambulia kwa kasi na kupata magoli mawili ya mwisho.
Lea amesema Azam Fc walikua na nafasi ya kushinda kwa sababu Kipre Tcheche na John Bocco walipata nafasi za kufunga lakini hawakuzitumia vizuri.
No comments:
Post a Comment