Sajuki hatuko naye tena.



Hili ni pigo lingine kwa watanzania hasa wapenzi wa bongo movie kwa kupoteza mpiganaji mwingine aliepigania uhai wake kwa muda mrefu mpaka leo mauti yalipomkuta.

No comments:

Post a Comment