Rick Ross atangaza rasmi jina la album yake mpya "MasterMind", na muonekano wa cover yake



Mwanzilishi na boss wa MayBach Music Group Rick Ross ametangaza rasmi jina la album yake ijayo inayosubiriwa na fans kibao, album itaitwa "MasterMind" ambayo itakuwa ni toleo la sita kutoka studio ikiwa ni kazi ya rapper huyo. Rosay ametoa pia mchoro wa cover ya album hiyo. 

Hii ndio cover ya album hiyo.



"Mastermind" itaachiwa chini ya lebel ya Rosay MMG, ambayo imehamishwa kutoka kushirikiana na Warner Urban kwenda Atlantic Records.

No comments:

Post a Comment