Kanye West na Kim Kardashian wanampango wa kulipanua zaidi jumba lao la kifahari walilonunua $ 11M,sasa wako Paris for babymoon.



Baada ya kununua jumba kubwa la kifahari kwa mkwanja mrefu sana wa  $11Million, Kanye West na Kim Kardashian wanaosubiri kwa hamu ujio wa mtoto wao wanaona ni kama haitoshi na kunatetesi kuwa wanampango wa kuiongeza ukubwa.

Jumba hilo ambalo lina gym, full salon, bowling alley, uwanja wa mpira wa kikapu, na pool la ndani na la nje, lina ukubwa wa futi za mraba 10,000, na muonekano wa kuvutia sana. Inasemekana kuwa Kanye West na Kim Kardashian wanampango wa kuliongeza ukubwa kidogo hadi futi za mraba 14,000. Well inaonekana K.K na Kanye Weezy wameona kuna umuhimu wa kuongeza kidogo coz familia itaongezeka!
Kanye West na mama kijacho Kim Kardashian walielekea pande za Paris Ufaransa, na hii ilikuwa na mtoko kwa ajili ya babymoon. Kim K anaujauzito wa miezi mitatu na anaonekana kufurahia sana hali hii ya ujauzito ambao kwake ni wa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment