‘Don’t work me up’ hit maker Chris Brown anazidi ku-make
headlines kwa story ya mapenzi kati yake na ex girlfriend wake Karrueche Tran
japo alitangaza kuwa amemuacha na kurudi kwa Rihanna. Juzi asubuhi Karrueche na
Chris Brown wameonekana wakiwa pamoja tena wakitokea kweye mjengo wa Breezy na
kuelekea katika gas station.
Wawili hao walitokea nyumbani kwa Chris Breezy wakiwa katika
magari mawili tofauti na walionekana hawana wasiwasi na mtoko wao na wala
hawakuogopa camera za paparazzi hadi waliposimama kwenye gas station, na
inasemekana kuwa walipotoka hapo walielekea studio pande za Burbank, Calfornia.
Hii imeleta utata na kuonekana kama ni tamthilia ya
‘kifilipino’ ama ndo hivyo tena Chris anakula kotekote kwa Rihanna na kwa model
Karrueche Tran kwa sababu alisema anawapenda wote, na wote wanampenda pia!
Rafiki wa karibu wa Chris aliiambia Hollywood Life, “Hell no,
hawako pamoja(Chris na Karrueche). Yuko na Rihanna na wala hatoki na Karrueche
kimyakimya. Karrueche alitaka favor na akafanya kwa ajili yake, pia akataka
asindikizwe kwa Chris Brown ili achukukuwe vitu vyake vilivyobaki asepe. Ain’t
no funny business between them.” Alisema huyo rafiki yake Chris B na
kusisitiza, “he just helped her out one time with something and she needed to
get her sh**t. No big deal.”
Lakini pia rafiki wa karibu wa Karrueche alipoulizwa alisema,
“anachofanya Karrueche ni kuchukua vitu vyake kwa Chris and trying up some
loose ends with Chris. Ni hivyo tu. Chris bado anasehemu kwenye maisha ya K.T
ndiyo lakini she is strong kuendelea na kuyafanya hayo yawe yamepita, na najua
anataka iwe hivyo.”
Tunaweza kujiuliza muda wote huu alikuwa hajafata vitu vyake
kwa Chris, sasa si ilikuwa ni time ya Rihanna kutumia the same room aliyokuwa
anaitumia Karrueche kwa Breezy? Hapo rafiki yake Karrueche akatoa majibu kiana,
“Chris hakuwepo wikendi hii ili K.T achukue vitu vyake, kwa hiyo imebidi afanye
leo. Inamuumiza kidogo kumuona Chris na nauhakika no matter what anyone says
bado wote wanafeeling kwa kati yao.”
No comments:
Post a Comment