Chama Cha Mapinduzi kimetafakari hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyotolewa jana Agosti 21, 2012 na Mahakama Kuu kanda ya Tabora.
Imetolewa na;-
Nape Nnauye
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM
WA
ITIKADI NA UENEZI
22/08/2012
Kimejiridhisha na kufanya uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya
kesi ya uchaguzi, dhidi ya Mbunge wa jimbo la Igunga mkoani Tabora
Dokta Dalaly Peter Kafumu.
Kusudio hilo linatokana na kutorishwa na hukumu hiyo.Imetolewa na;-
Nape Nnauye
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM
WA
ITIKADI NA UENEZI
22/08/2012
NA BASHIR NKOROMO,
DAR ES SALAAM, TANZANIA
Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakikuridhishwa na hukumu iliyotolewa na
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, dhidi ya Mbunge wa jimbo la Igunga, Peter
Dalally Kafumu.
Taarifa iliyolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye mchana leo, imeseme kufuatia kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa jana na Jaji wa Mahakama hiyo, Mary Shangali, kitakata rufani.
"Chama Cha Mapinduzi kimetafakari hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyotolewa jana Agosti 21, 2012 na Mahakama Kuu kanda ya Tabora. Kimejiridhisha na kufanya uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kesi ya uchaguzi, dhidi ya Mbunge wa jimbo la Igunga mkoani Tabora Dokta Dalaly Peter Kafumu.Kusudio hilo linatokana na kutorishwa na hukumu hiyo". imesema taarifa hiyo iliyosainiwa na Nape.
Jana Jaji Mary Shangali katika hukumu yake, alisema ametengua ushindi wa Dk. Kafumu baada ya kurishishwa na madai saba kati ya 17 yaliyowasilishwa katika mahakama hiyo na Mlalamilikaji, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Chadema, Joseph Kashindye.
Dk. Kafumu wa CCM alitangazwa kushinda kiti na Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Igunga, katika uchaguzi mdogo uliofanyika, Septemba mwaka jana, baada ya kujiuzulu aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, Rostam Aziz.

CHANZO: http://ccmchama.blogspot.com
No comments:
Post a Comment