![]() |
| Msanii wa hip hop kutoka kundi la watengwa ambalo Maskani yake yapo Arusha , JCB Juzi aliuaga ukapela na Kufunga Ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Diana Jorgensen pande za Arusha..!! |
![]() |
| JCB akidondosha wino kwenye kitabu cha Ndoa..!! |
![]() |
| Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha Ndoa..! |
![]() |
![]() |
| Picha ya Pamoja ya JCB na Mkewe Diana wakiwa na Ndugu,Jamaa na Marafiki bahada ya kufunga ndoa..!! |





No comments:
Post a Comment