Mcheck Ommy Dimpoz alivyopokewa na Ally Kiba Ndani ya Jiji la London Uingereza "The Valentine Tour

                                     535623_10151519660722642_1753165094_n

Hitmaker wa Me and You, Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz leo amewasili jijini London Uingereza kujumuika na Ali Kiba aliyekuwepo huko kabla yake, kwaajili ya ziara iliyopewa jina la The Valentine Tour.
Promota wa ziara hiyo Victor Djrule wa kampuni ya Bongo UK amepost picha za Ommy Dimpoz baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa London Heathrow Airport (LHR) ambapo Ali Kiba alikuwepo pia kumpokea.
                                               58849_10151519660652642_152100445_n
                                              644322_10151519660872642_1517953216_n

Wakali hao wa Bongo Flava watakuwa na show Feb 22 na 23.

                                         163351_10151494104282642_68779663_n

No comments:

Post a Comment